Mtanii utulie. Hivi huoni Mpare na Takadini wanafurushana huko??Kwa hiyo toka 5imba mshinde ile kauli yenu ya kwamba mpira wa miguu hauna mvuto baada ya yale ya oktoba naniliu imeondoka. Si ndio.
ππππkuna jirani yangu hapa tokea Jana anaangalia zake (KIX) Hataki kusikia kuhusu AZAM SPORT HDππ
Basi mie napentaaaaaaaaa!!!! ππππYaani game ya tarehe 10 ndo nimejua maumivu wanayopitiaga wanasimba. Kila nikijaribu kujisahaulisha, inanijia chenga ya mpanzu mpaka kufunga goli la pili
Haya yapo ni endelevu kabisaa.Pia malalamiko yao kwa refaree Ahmed Arajiga kwamba anaipendelea Yanga yameisha ghafla π
Na kwenyewe nasikia wamepeleka..kuna jirani yangu hapa tokea Jana anaangalia zake (KIX) Hataki kusikia kuhusu AZAM SPORT HDππ
YaaniAndaeni gharama za Dialysis πππ
Steve Kulia lia a.k.a Mr Azam π"Ni hujuma ni hujuma .....sitaki sitaki sitaki ...naomba uniache ......"
πππYaani
NawasikitikiaππAu waweke Flash mpaka Hiki Kimbunga cha π¦π€£kipiteNa kwenyewe nasikia wamepeleka..