Manyanza
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 16,464
- 35,629
🟢Kila Siku naskia mnatamba kuwa nyie ni Timu kubwa sana Africa, inakuwaje mpaka Sasa sold out ni VIP A tu?
Wananchi inaonekana ikifika swala la Hela huwa mnavua jezi kabsaa mnasubili tamasha liishe ndio mvae tena jezi.
Hii sio sawa igeni mfano mzuri kwa mashabiki wa Simba.
Na Walianza kuuza ticket kabla ya Simba SC.