Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mashabiki wengi wa Yanga wanatabia za Kiislam, kutoa sadaka ni ishu hata msikiti uwe mzuri vipi, simba wana tabia za kikristu toa sana sadaka.View attachment 3057945
🟢Kila Siku naskia mnatamba kuwa nyie ni Timu kubwa sana Africa, inakuwaje mpaka Sasa sold out ni VIP A tu?
Wananchi inaonekana ikifika swala la Hela huwa mnavua jezi kabsaa mnasubili tamasha liishe ndio mvae tena jezi.
Hii sio sawa igeni mfano mzuri kwa mashabiki wa Simba.
Na Walianza kuuza ticket kabla ya Simba SC.
Wazee wa kitonga haoView attachment 3057945
🟢Kila Siku naskia mnatamba kuwa nyie ni Timu kubwa sana Africa, inakuwaje mpaka Sasa sold out ni VIP A tu?
Wananchi inaonekana ikifika swala la Hela huwa mnavua jezi kabsaa mnasubili tamasha liishe ndio mvae tena jezi.
Hii sio sawa igeni mfano mzuri kwa mashabiki wa Simba.
Na Walianza kuuza ticket kabla ya Simba SC.
Siburi baada ya siku ya wananchi ndiyo utoe hukumu inamaana akili zako zinakukazata kuelewa kwamba Yanga sc siyo moja kati timu 10 kubwa Frica,?View attachment 3057945