Ukubwa wa timu haupimwi kwa siku ya timu. Hata usipokuwa na siku ya timu, ukiwafunga wote kwenye ligi nzima unakuwa timu kubwa kwenye ligi yenu.View attachment 3057945
🟢Kila Siku naskia mnatamba kuwa nyie ni Timu kubwa sana Africa, inakuwaje mpaka Sasa sold out ni VIP A tu ?
Wananchiiiiiiii inaonekana ikifika swala la Hela huwa mnavua jezi kabsaa mnasubili tamasha liishe ndio mvae tena jezi .. hii sio sawa .. igeni mfano mzuri kwa mashabiki wa simbasctanzania .
Na Walianza kuuza ticket kabla ya Simba SC.
Pole sana kijana.Ukubwa wa timu haupimwi kwa siku ya timu. Hata usipokuwa na siku ya timu, ukiwafunga wote!
Usikimbie tarehe 8. Usisahau kilichotokea tarehe 5 mtani. Tunashinda kitarehe. KalpanaPole sana kijana...
Naona uchungu wako
Ubaya ubwela
Usikimbie tarehe 8. Usisahau kilichotokea tarehe 5 mtani. Tunashinda kitarehe. Kalpana
CC GENTAMYCINE. Mshana Jr
Acha kutafuta sababu kwanza hii pia ni fact kuonesha kwamba nyie mpo outnumbered.Ukubwa wa timu haupimwi kwa siku ya timu. Hata usipokuwa na siku ya timu, ukiwafunga wote kwenye ligi nzima unakuwa timu kubwa kwenye ligi yenu.
Achia mbali huku LUZA CUP, ukienda kwenye ligi ya mabingwa na ukawafunga wote, UNAKUWA TIMU KUBWA, wewe kolooo..!!
GBoost na Jiesiemu eneji kupunguza mfadhaiko 🤣🤣🤣Ukubwa wa timu haupimwi kwa siku ya timu. Hata usipokuwa na siku ya timu, ukiwafunga wote kwenye ligi nzima unakuwa timu kubwa kwenye ligi yenu.
Achia mbali huku LUZA CUP, ukienda kwenye ligi ya mabingwa na ukawafunga wote, UNAKUWA TIMU KUBWA, wewe kolooo..!!
Atanunua tiketi nani, hivi unawajua vizuri Gongowazi wewe?YANGA KAANZA KUUZA TIKETI TAREHE 19 MWEZI HUU HUKU SIMBA KAANZA KUUZA TIKETI KUANZIA TAREHE 22 MWEZI HUU YANGA KATANGULIA KWA SIKU HIZI NYAKATI ZA TEKNOLOJIA.
HUKU UPANDE WA KUSAPOTI SIMBA YETU NYIE TUACHENI SI TUNA DUNIA YETU.
View attachment 3057959
Sold out halafu uwanja utakua na mapengo siku yenu,walanguzi wamenunua ili wauzeYANGA KAANZA KUUZA TIKETI TAREHE 19 MWEZI HUU HUKU SIMBA KAANZA KUUZA TIKETI KUANZIA TAREHE 22 MWEZI HUU YANGA KATANGULIA KWA SIKU HIZI NYAKATI ZA TEKNOLOJIA.
HUKU UPANDE WA KUSAPOTI SIMBA YETU NYIE TUACHENI SI TUNA DUNIA YETU.
View attachment 3057959
Huwa wanajaa kwenye Supu ya bure tu.Mimi ni Yanga damu damu ila nadhani wanayanga wengi wanaoishi Dar ni wachovu sana hasa linapokuja swala la kununua tiketi. Kwa mfano mchezo huo ungechezewa mikoani, tuseme Mwanza, na bei zikiwa juu ya hizo za Dar, zote zingenunuliwa na uwanja kufurika. Lakini kwa Dar inaonekana kuna tatizo sana.
Yanga wanasubiri watangaziwe kuwa kiingilio itakuwa ni bure.View attachment 3057945
🟢Kila Siku naskia mnatamba kuwa nyie ni Timu kubwa sana Africa, inakuwaje mpaka Sasa sold out ni VIP A tu ?
Wananchiiiiiiii inaonekana ikifika swala la Hela huwa mnavua jezi kabsaa mnasubili tamasha liishe ndio mvae tena jezi .. hii sio sawa .. igeni mfano mzuri kwa mashabiki wa simbasctanzania .
Na Walianza kuuza ticket kabla ya Simba SC.
Uongozi nao watakuwa ni wapumbavu tu, kama Dar es asalaam hakuna Mashabiki si wa hiyo Yanga Day wangeipeleka mkoani tu! Yanga wa Dar wameshazieshwa vya bureMimi ni Yanga damu damu ila nadhani wanayanga wengi wanaoishi Dar ni wachovu sana hasa linapokuja swala la kununua tiketi. Kwa mfano mchezo huo ungechezewa mikoani, tuseme Mwanza, na bei zikiwa juu ya hizo za Dar, tiketi zote zingenunuliwa na uwanja kufurika. Lakini kwa Dar inaonekana kuna tatizo sana.
Usifikiri kila siku ni Jumamosi mtani😜Usikimbie tarehe 8. Usisahau kilichotokea tarehe 5 mtani. Tunashinda kitarehe. Kalpana
CC GENTAMYCINE. Mshana Jr
Yanga si ni timu ya Wananchi? Nyumbani wanajifunika na vyandarua kwa "Msaada wa Watu wa Marekani" na uwanjani wanaingia kwa "Msaada wa GSM"! Sold out za nini?View attachment 3057945
🟢Kila Siku naskia mnatamba kuwa nyie ni Timu kubwa sana Africa, inakuwaje mpaka Sasa sold out ni VIP A tu?
Wananchi inaonekana ikifika swala la Hela huwa mnavua jezi kabsaa mnasubili tamasha liishe ndio mvae tena jezi.
Hii sio sawa igeni mfano mzuri kwa mashabiki wa Simba.
Na Walianza kuuza ticket kabla ya Simba SC.
We valee weweee..!! Mtapigwa siku yoyote yenye jina.Usifikiri kila siku ni Jumamosi mtani😜