Yanga Sports tatizo ni nini mpaka sasa?

Hatuna haraka injinia atazinunua atakuja kutugaia tuingie bure
 
Uzuri shughuli ya send off ndio inatangulia lazima muwe wengi ila tarehe 8 kipigo kipo pale pale.
 
Mashabiki wengi wa Yanga wanatabia za Kiislam, kutoa sadaka ni ishu hata msikiti uwe mzuri vipi, simba wana tabia za kikristu toa sana sadaka.
 
Poleni uto...timu imejaa wapiga domo tuu...
Ukubwa wa timu unagusa nyanja nyingi...
 
Na safari hii jisiem kasema hanunui hata ticketi moja.liwalo na liwe
 
Wazee wa kitonga hao
 

Attachments

  • IMG-20240801-WA0000.jpg
    155.5 KB · Views: 1
Siburi baada ya siku ya wananchi ndiyo utoe hukumu inamaana akili zako zinakukazata kuelewa kwamba Yanga sc siyo moja kati timu 10 kubwa Frica,?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…