Yanga tayari mechi na El Merreck comfirmed itachezwa, Kigali Rwanda, uongozi utowe utaratibu wa safari sasa, Simba pia mnahusika

Yanga tayari mechi na El Merreck comfirmed itachezwa, Kigali Rwanda, uongozi utowe utaratibu wa safari sasa, Simba pia mnahusika

Ni aibu kwa Watanzania mechi kama Simba na Power Dyanamos na Yanga na El Merreck zote zinapigwa kwenye nchi Jirani border to border kama viongozi wanashindwa kuwaandaa mashabiki wa timu hizi kuhudhuria kwa wengi mechi hizo kwa kuwawekea utaratibu rafiki badala ya kuwageuza fursa ili kuwapiga mashabiki.

Kwa mfano upande wa Simba mtu kama Avoid ni mtu wa Simba hamasisha mashabiki wengi wa Mbeya na Tunduma wawekewe utaratibu rahisi na bei nafuu waende Zambia.

Upande wa Yanga INA base kubwa Mwanza, ongea na Zakaria watu wa Mwanza na Geita waende Kigali kwa wingi na makao makuu idili na watu wa labda ya Pwani Moro, Dar, Tanga na Mtwara.

Tu jifunze kuamini matawi ya mikoani yajisimamie yenyewe kama wanaweza kuja kwenye matamasha ya Simba day na Yanga day kwa kujiorganise wenyewe hata hili wanaliweza na uzuri hizo nchi unaingia kwa temporary passport za karatasi tu ambazo hazina shida kuzipata.

Ni wakati sasa wa viongozi wa klabu hizi wachangamshe akili tuwe wanyonge mechi za mbali lakini siyo Zambia au Rwanda, tuukatae unyonge huu.
Mkuu Una hoja Sana Binafsi nimefikiria Sana kuhusu hii inshu...
Mfano tukiongelea inshu ya Yanga kwenda Rwanda naona viongozi wametangaza bei ya shilingi laki moja na nusu kama nauli ya kwenda na kurudi nadhani hii ni Kwa wakazi wa Dar... Hapo kwanza nitoe shukurani za wazi japo kungewezekana kuomba udhamini Kwa Yanga Supporters kungekua na Bus nyingi zaidi na huenda bei ingeshuka Hadi laki ambapo mashabiki wengi Tu wangeweza kwenda huko Rwanda kutoa support...

Ila mi na hoja moja uongozi ungeangali namna ya kupata mashabiki wa eneo jirani kabisa na Rwanda hasa mikoa ya kanda ya ziwa kama kigoma bukoba na mwanza... Hapo wangeunda namna Kwao nauli iwe walau elfu hamsini... Siamani kama Yanga ingetaka mdhamini wa hii mechi angekosekana hata mashabiki tungechangia gharama za Bus ili wanaoenda wapate discount kubwa...

Kingine uongozi ungeangalia namna bora ya kurahisisha inshu ya vibali najua wabongo wengi inshu ya passport ya kusafiria ni kipengele kigumu kulingana na mifumo ya kizamani ya nchi yetu fikiria Tu watu hawana vitambulisho vya Taifa vipi kuhusu Hati ya kusafiria..

Najua viongozi mnasoma haya maoni naomba myafanyie Kazi ifike mahali tupige hatua Katika soka letu....

#Daimambelenyumamwiko
 
Kilichoanzishwa na viongozi sio kwamba wamefunga mipaka kwa wadau wengine kujipanga kwa namna moja au nyingine ili kufika Rwanda. Viongozi wa matawi nao wanaweza kutengeneza namna rahisi ya kufika Rwanda kwa mikoa iliyopo jirani. Nimeona Mwanza wamefanya jambo basi na wengine waige hili wazo.
IMG_20230905_202742.jpg
 
Kilichoanzishwa na viongozi sio kwamba wamefunga mipaka kwa wadau wengine kujipanga kwa namna moja au nyingine ili kufika Rwanda. Viongozi wa matawi nao wanaweza kutengeneza namna rahisi ya kufika Rwanda kwa mikoa iliyopo jirani. Nimeona Mwanza wamefanya jambo basi na wengine waige hili wazo. View attachment 2740159
Inshu kama hii ingesimamiwa na uongozi WA juu ingependeza... I mean wao wangetoa baraka japo Kwa kupost kwenye official page
 
Kuna anaye kwenda kigali humu ? Tujue tunaendaje, tuburuze au tupae ?
 
Back
Top Bottom