Yanga tengenezeni timu yenye wafungaji wengi na siyo kumtegemea Mayele peke yake

Timu imesheheni waroho wa kutaka ustaa kwa kuonekana wao ndio wamefunga.

Sehemu ya pasi wao wanafosi kufunga.

Bora ushauri huo tuwape Ihefu
Maana Simba ina magoli mengi lakini haina mchezaji mmoja tu mwenye shea kubwa kwenye hayo magoli. Maana yake leo Kibu D na Inonga hawakuwa kwenye mawazo ya wana Simba kwamba watafunga lakini ndiyo waliofunga magoli.
 
TUWEKEE MSIMAMO WA LEAGUE
TUWEKEE STRIKER ANAYEONGOZA MAGOLI
TUWEKEE NAMBA 10 MWENYE MAGOLI MENGI
TUWEKEE KIPA MWENYE CLEAN SHEETS NYINGI
TUWEKEE TEAM YENYE UNBEATEN NYINGI AFRICA
TUWEKEE TEAM YENYE MAKOMBE MENGI TZ
TUWEKEE TUONE TEAM ILIYOFUNGWA MAGOLI MENGI NA MARA NYINGI NA YANGA KWA MIAKA YOTE...
kumfunga Yanga Bingwa ni story kila sehem kwasabab Yanga ni team kubwa Africa... Ni Baba wa mpira Tanzania na Africa ya kati...
💚💛💚💛💚💛🏆🏆🏆🏆🏆
 
TUWEKEE NA GOLI LA KIBU WA KWENYE TAKWIMU

Hiyo mbona hujaandika?
 
TUWEKEE MSIMAMO WA LEAGUE
TUWEKEE STRIKER ANAYEONGOZA MAGOLI
TUWEKEE NAMBA 10 MWENYE MAGOLI MENGI
TUWEKEE KIPA MWENYE CLEAN SHEETS NYINGI
TUWEKEE TEAM YENYE UNBEATEN NYINGI AFRICA
TUWEKEE TEAM YENYE MAKOMBE MENGI TZ
TUWEKEE TUONE TEAM ILIYOFUNGWA MAGOLI MENGI NA MARA NYINGI NA YANGA KWA MIAKA YOTE...
kumfunga Yanga Bingwa ni story kila sehem kwasabab Yanga ni team kubwa Africa... Ni Baba wa mpira Tanzania na Africa ya kati...
💚💛💚💛💚💛🏆🏆🏆🏆🏆
tuwekee na jina la utopolo afrika mashariki na kati
 
TUWEKEE MSIMAMO WA LEAGUE
TUWEKEE STRIKER ANAYEONGOZA MAGOLI
TUWEKEE NAMBA 10 MWENYE MAGOLI MENGI
TUWEKEE KIPA MWENYE CLEAN SHEETS NYINGI
TUWEKEE TEAM YENYE UNBEATEN NYINGI AFRICA
TUWEKEE TEAM YENYE MAKOMBE MENGI TZ
TUWEKEE TUONE TEAM ILIYOFUNGWA MAGOLI MENGI NA MARA NYINGI NA YANGA KWA MIAKA YOTE...
kumfunga Yanga Bingwa ni story kila sehem kwasabab Yanga ni team kubwa Africa... Ni Baba wa mpira Tanzania na Africa ya kati...
💚💛💚💛💚💛🏆🏆🏆🏆🏆
Hapo mwisho kuna kauongo fulani
 
Kweli kabisa mkuu

Mayele amekua mtu wa ajabu mno [emoji23][emoji23][emoji23] anapiga mashuti karibia na katikati ya uwanja duh [emoji23][emoji23][emoji23]
Mnampa Presha kubwa sana. Ni kama ni lazima kila mechi afunge. Bado ni mzuri na uwezo wake wa kukimbia na kudhibiti mpira bado ni mkubwa. Ila msilazimishe kuwa kila mechi ni lazima afunge!!
 
TUWEKEE MSIMAMO WA LEAGUE
TUWEKEE STRIKER ANAYEONGOZA MAGOLI
TUWEKEE NAMBA 10 MWENYE MAGOLI MENGI
TUWEKEE KIPA MWENYE CLEAN SHEETS NYINGI
TUWEKEE TEAM YENYE UNBEATEN NYINGI AFRICA
TUWEKEE TEAM YENYE MAKOMBE MENGI TZ
TUWEKEE TUONE TEAM ILIYOFUNGWA MAGOLI MENGI NA MARA NYINGI NA YANGA KWA MIAKA YOTE...
kumfunga Yanga Bingwa ni story kila sehem kwasabab Yanga ni team kubwa Africa... Ni Baba wa mpira Tanzania na Africa ya kati...
💚💛💚💛💚💛🏆🏆🏆🏆🏆
Fyoko fyoko, mmekalia viwili leo unatafuta pa kupunguzia maumivu, kama inauma chomoa
 
Kaka kwani umefungwa wewe?
20230416_225358.jpg
 
Back
Top Bottom