Yanga tengenezeni timu yenye wafungaji wengi na siyo kumtegemea Mayele peke yake

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa ndo ulie kwa sauti???
Khaaaah
 
Mnampa Presha kubwa sana. Ni kama ni lazima kila mechi afunge. Bado ni mzuri na uwezo wake wa kukimbia na kudhibiti mpira bado ni mkubwa. Ila msilazimishe kuwa kila mechi ni lazima afunge!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kujifariji imo usijali
 
Trash
 
Timu kubwa Afrika ipo nafasi ya 38?

Timu kubwa Afrika ipo kombe la loosers[emoji23][emoji23][emoji23]

Timu kubwa Afrika inafungwa na fala kama kibu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…