Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
Wakuu.
Nikiwa kama mwanayanga mbobevu ambapo ndugu zangu wote humu wananifahamu akiwemo comrade wa muda sana Tate Mkuu
Binafsi natoa ushauri wa rais wetu Hersi .
Ukichunguza kwa makini utagundua kuwa ligi yetu imekua sana ushindani na ubora kuliko ligi nyingi sana hasa za West Africa. ⛏️⛏️
Wale jamaa wao wamefocus kucheza nje tu hasa France 🇫🇷 na Europe tu
Kwa maana hiyo ligi zao ni dhaifu sana sana sana yaani poor.
Kwa sasa tukitaka mchezaji huko hasa Ghana 🇬🇭 basi inafaa awe chuma kweli kweli yaani vigezo viwe over monitoring...✅️✅️
Ukiangalia wachezaji wa Ghana hasa tuliowaleta almost wote walifeli vibaya sana .
Sababu ligi yao dhaifu sana na team ni maskini kiuchumi hata mwamko wao ni mdogo sana .
Hebu tuone hapa.
HAFIZ KONKONI WONTAH.(AKIWA GHANA) Bechem utd
⚽ = 20
🥅 =13
🎯= 0
🟡=0
AKIWA HUKO LIBYA SASA nako hivyo hivyo kajitahidi tahidi tu.
Halafu linganisha alipokuja huku Bongo ndiyo utajua, imagine hadi alipokuwa huko bechem akaitwa na national team..
Haya huyu hapa
AUGUSTINE OKRAH.
⚽️=31
🥅=14
🎯=1
🟡=3
Halafu linganisha na alipokuja huku ndio uone maajabu
Guys ligi yetu sasa ni ngumu sana ushindani mkubwa sana kwa sasa hawa waghana hawatufai na West Africa players wengi tuwe nao makini sana.
KEY WORDS
⚽️=Mechi alizocheza
🥅= magoli
🎯=assists
🟡= yellow card
🔴= red card
Na soon okrah atarudi bongo hapa anaenda kwao Bechem utd pale anafunga goli kama 12 then huyo utaskia yupo ihefu.