Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
Hakuna alichotusaidia huyo bwege acha aende
Mbona Okra ni mchezaji mzuri sana. Ana mikimbio mizuri apewe muda tu. Huyu tulimchukua Simba walishindwana naye. Akiwepo yeye na Chama tutatisha sana.