Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
Hakuna alichotusaidia huyo bwege acha aende
Tuko pamoja....
Wanigeria wamemshambulia kwa maneno makali Benjamin Tanim wa Ihefu ya Tanzania kwa madai kuwa hastahili kuchezea timu ya Taifa ya Nigeria kwa sababu anatoka ligi ya Tanzania ambayo wao wanaamini kuwa ni dhaifu Afrika eti ni ligi namba 25 kwa ubora.Hivi ihefu wanatoa wapi wachezaji?
Jamaa mtu sana huyo na mwenzie chukwu
Viongozi walisanuka nadhani ukute wanapitia pitia humuHatimaye kikosi hakina mchezaji kutoka Ghana na Nigeria
Waghana na wanaija ni matapeli wakubwa sana wale wangetusumbua sanaafrica nzima wachezaji wa Ghana wanazingua. wana kesi nyingi sana fifa.
Tanzania tuwapige ban kabisa .
naona azam pia wametemana na kipa wa ghana .
we should never allow Ghana players in our league period.
Yale yale ya kina okrah na morrisonWa Ghana ni watu wa anasa sana.
Wavivu mno, wanapenda starehe sio watu wa kazi kabisa.
Ndo maana hata Kwa Sasa team Yao ya taifa u
Inayumba