Yanga tuacheni kulishana ujinga. Match itarudiwa na Tutacheza. Period

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
14,762
Reaction score
32,386
Hakuna kuendelea kudanganyana any more. Match itarudiwa na tutaenda uwanjani. Hii wala haihitaji elimu ya sekondary

Mikia.wamenyamaza sababu wanajua mambo yanavyoenda wapo very calculated. Hata wanapowatuma wazee wao wazungumze wanawachagua wasomi. Sisi tunawatumia akina mpili kichwani hamna kitu.

Tujipangeni kwa match na Hersi asitufanye sisi wapuuzi kama hao wengine. TUTAKE TUNACHEZA, TUSITAKE TUNACHEZA.
 
Safari hii mtashika adabu, Anatandikwa Bodi ya Ligi na Tff maumivu wanapata Simba.
Muwatandike si watawasubiri tu mjae kwenye kumi na nane mtatuliwe. Unadhani nyinyi ni wasafi sana? Ukute hesabu za miaka mi3 nyuma tu zikiguswa kasma kwa kasma mnarudi kwenye mfumo wa tutumie busara.
 
Yanga ndio yenye mpira wa Nchi hii sasa tumeona mnataka mtupande kichwani , tunakwenda kuwa nyoosha wote.
 
Yanga itacheza na itashinda game.Lakini kwa kilichotokoea resistance lazima iwepo, ili siku nyingine TFF wasirudie ujinga.
 
Hakuna kuendelea kudanganyana any more. Match itarudiwa na tutaenda uwanjani. Hii wala haihitaji elimu ya sekondary

Mikia.wamenyamaza sababu wanajua mambo yanavyoenda wapo very calculated. Hata wanapowatuma wazee wao wazungumze wanawachagua wasomi. Sisi tunawatumia akina mpili kichwani hamna kitu.

Tujipangeni kwa match na Hersi asitufanye sisi wapuuzi kama hao wengine. TUTAKE TUNACHEZA, TUSITAKE TUNACHEZA.
utarudia na timu B yako
 
Upo sahihi.. ukizingatia kwenye no reform, noe election ijayo hersi na arafat ni wabunge watarajiwa kulitia ccm
 
Yanga ndio yenye mpira wa Nchi hii sasa tumeona mnataka mtupande kichwani , tunakwenda kuwa nyoosha wote.
Yanga hii inayopewa ubingwa kwa busara za mwenyeki ili awe bingwa wa kihistoria!
Yanga hii inayodhamini vilabu karibu vinane kwenye ligi?!
Yanga hii inayopanga waamuzi na kuwapa mlungula ili waibebe!?
Timu kama hii inapata wapi ujasiri wa kunyooshea vidole viongozi wa tff?
Angalieni mtaua ligi yetu kwa ujinga mnaofanya
 
Hakuna kuendelea kudanganyana any more. Match itarudiwa na tutaenda uwanjani. Hii wala haihitaji elimu ya sekondary

Mikia.wamenyamaza sababu wanajua mambo yanavyoenda wapo very calculated. Hata wanapowatuma wazee wao wazungumze wanawachagua wasomi. Sisi tunawatumia akina mpili kichwani hamna kitu.

Tujipangeni kwa match na Hersi asitufanye sisi wapuuzi kama hao wengine. TUTAKE TUNACHEZA, TUSITAKE TUNACHEZA.
Endeleeni kumsikiliza manara
 
Back
Top Bottom