Yanga tuacheni kulishana ujinga. Match itarudiwa na Tutacheza. Period

Yanga tuacheni kulishana ujinga. Match itarudiwa na Tutacheza. Period

Yanga itacheza na itashinda game.Lakini kwa kilichotokoea resistance lazima iwepo, ili siku nyingine TFF wasirudie ujinga.
Sasa hiyo kutikisa kiberiti mnayoifanya na mnajua mtacheza si ndio sinema hizo anazo zikataa Rais wa TFF.
 
Muwatandike si watawasubiri tu mjae kwenye kumi na nane mtatuliwe. Unadhani nyinyi ni wasafi sana? Ukute hesabu za miaka mi3 nyuma tu zikiguswa kasma kwa kasma mnarudi kwenye mfumo wa tutumie busara.
Aiseeeee
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Back
Top Bottom