Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 14,762
- 32,386
Muwatandike si watawasubiri tu mjae kwenye kumi na nane mtatuliwe. Unadhani nyinyi ni wasafi sana? Ukute hesabu za miaka mi3 nyuma tu zikiguswa kasma kwa kasma mnarudi kwenye mfumo wa tutumie busara.Safari hii mtashika adabu, Anatandikwa Bodi ya Ligi na Tff maumivu wanapata Simba.
Yanga ndio yenye mpira wa Nchi hii sasa tumeona mnataka mtupande kichwani , tunakwenda kuwa nyoosha wote.Muwatandike si watawasubiri tu mjae kwenye kumi na nane mtatuliwe. Unadhani nyinyi ni wasafi sana? Ukute hesabu za miaka mi3 nyuma tu zikiguswa kasma kwa kasma mnarudi kwenye mfumo wa tutumie busara.
Ok. Ngoja tuone.Yanga ndio yenye mpira wa Nchi hii sasa tumeona mnataka mtupande kichwani , tunakwenda kuwa nyoosha wote.
RubishSafari hii mtashika adabu, Anatandikwa Bodi ya Ligi na Tff maumivu wanapata Simba.
Yanga Itacheza na safari itapoteza tena kwa aibuYanga itacheza na itashinda game.Lakini kwa kilichotokoea resistance lazima iwepo, ili siku nyingine TFF wasirudie ujinga.
utarudia na timu B yakoHakuna kuendelea kudanganyana any more. Match itarudiwa na tutaenda uwanjani. Hii wala haihitaji elimu ya sekondary
Mikia.wamenyamaza sababu wanajua mambo yanavyoenda wapo very calculated. Hata wanapowatuma wazee wao wazungumze wanawachagua wasomi. Sisi tunawatumia akina mpili kichwani hamna kitu.
Tujipangeni kwa match na Hersi asitufanye sisi wapuuzi kama hao wengine. TUTAKE TUNACHEZA, TUSITAKE TUNACHEZA.
Upo sahihi.. ukizingatia kwenye no reform, noe election ijayo hersi na arafat ni wabunge watarajiwa kulitia ccmHakuna kuendelea kudanganyana any more. Match itarudiwa na tutaenda uwanjani. Hii wala haihitaji elimu ya sekondary
Mikia.wamenyamaza sababu wanajua mambo yanavyoenda wapo very calculated. Hata wanapowatuma wazee wao wazungumze wanawachagua wasomi. Sisi tunawatumia akina mpili kichwani hamna kitu.
Tujipangeni kwa match na Hersi asitufanye sisi wapuuzi kama hao wengine. TUTAKE TUNACHEZA, TUSITAKE TUNACHEZA.
Yanga hii inayopewa ubingwa kwa busara za mwenyeki ili awe bingwa wa kihistoria!Yanga ndio yenye mpira wa Nchi hii sasa tumeona mnataka mtupande kichwani , tunakwenda kuwa nyoosha wote.
Endeleeni kumsikiliza manaraHakuna kuendelea kudanganyana any more. Match itarudiwa na tutaenda uwanjani. Hii wala haihitaji elimu ya sekondary