Gwele JF-Expert Member Joined Jun 7, 2016 Posts 2,773 Reaction score 3,527 Mar 28, 2025 #21 akili akili said: Yanga itacheza na itashinda game.Lakini kwa kilichotokoea resistance lazima iwepo, ili siku nyingine TFF wasirudie ujinga. Click to expand... Sasa hiyo kutikisa kiberiti mnayoifanya na mnajua mtacheza si ndio sinema hizo anazo zikataa Rais wa TFF.
akili akili said: Yanga itacheza na itashinda game.Lakini kwa kilichotokoea resistance lazima iwepo, ili siku nyingine TFF wasirudie ujinga. Click to expand... Sasa hiyo kutikisa kiberiti mnayoifanya na mnajua mtacheza si ndio sinema hizo anazo zikataa Rais wa TFF.
G guest-1787677352 Guest Mar 28, 2025 #22 Tsh said: Muwatandike si watawasubiri tu mjae kwenye kumi na nane mtatuliwe. Unadhani nyinyi ni wasafi sana? Ukute hesabu za miaka mi3 nyuma tu zikiguswa kasma kwa kasma mnarudi kwenye mfumo wa tutumie busara. Click to expand... Aiseeeee
Tsh said: Muwatandike si watawasubiri tu mjae kwenye kumi na nane mtatuliwe. Unadhani nyinyi ni wasafi sana? Ukute hesabu za miaka mi3 nyuma tu zikiguswa kasma kwa kasma mnarudi kwenye mfumo wa tutumie busara. Click to expand... Aiseeeee