ngara23
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 9,091
- 21,087
Naona wenzetu Simba wanasajili Kwa umakini.
Mbumbumbu wamejipanga sana
Ona Sasa wamemsajili dogo ambaye kwangu ndo mchezaji Bora mzawa Valentino Mashaka.
Nasikia kesho saa 7 watamtambulisha Najim Musa wa Tabora United
Hawa wangekuwa ni replacement nzuri ya akina NKANE NA SHERHAN
Huko Kimataifa mbumbumbu wameshusha vyuma vya maana ambao Sina shaka nao ni wachezaji wazuri.
Au ndo hizo siasa za mpira wa bongo amabazo tunazisikia kuwa hizi team Huwa zinaachiana Kwa ajili ya kutupumbaza Watanganyika ili watu wale keki ya taifa .
Nina uhakika mwakani mbumbumbu ni bingwa.
Kimya cha Yanga kwenye usajili hakinifurahishi naona wanafanya kusudi.
Ona Sasa wametuletea wazee kina Chama, Dube, Baleke, Boka n.k
Huku makolo wameshusha damu changa.
Eng Hersi Said Fanya jambo kwenye usajili