mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 47,054
- 58,689
Wachezaji wanacheza wanapotaka au kocha ndiyo anasema weka mpira chini au piga mipira mirefu?
Hukusikia game ile alikuwa napiga kelele anasema "on the ground! On the ground!"
Acha ushabikiwa kitoto kijana
Sababu timu mbovu sio uwanja.mbona tulishasema muda kuwa yanga hii ni mbovu ina shinda Kwa uwezo binafsi wa wachezaji na Wala sio mbinu za kocha wewe ilikuwa wapi?shida ya yanga ni injinia hersi ana amini mpira unachezwa zaidi nje ya uwanja kuliko uwanjani.kocha kwake ni ziada tu.Hujatambua kitu hapa
Hatulaumu sare kabisa kabisa hatujaumia na sare
Kilichotuuma ni mpira uliochezwa mbovu sana tulicheza
Haoa bado unatoka nje ya concepts kabisaFolz hateteki mkuu, Gamondi alipokuja Yanga hakumkuta huyo Mollin lakini angalia mpira wake. Swala la aina ya mpira sio mkurugenzi wa ufundi ndio anapanga bali ni mfumo wa kocha mwenyewe na staili yake ya uchezaji. Hata angekuwepo huyo Mollin asingesaidia kitu kwasababu huo ndio aina ya mpira wa huyo kocha.
Ukitaka kujua Mollin hapangi aina ya uchezaji wa timu (falsafa) angalia Mollin alivyokuwa na Ramovich kisha alivyokuwa na Miloud Hamdi uchezaji wa timu haukulingana
Huu ulioleta sio uchambuzi ni ushabiki tuSababu timu mbovu sio uwanja.mbona tulishasema muda kuwa yanga hii ni mbovu ina shinda Kwa uwezo binafsi wa wachezaji na Wala sio mbinu za kocha wewe ilikuwa wapi?shida ya yanga ni injinia hersi ana amini mpira unachezwa zaidi nje ya uwanja kuliko uwanjani.kocha kwake ni ziada tu.
Kule alikuwa kocha tuMkuu, unamzungumzia huyo jamaa kana kwamba hakuwahi kufeli Azam na KMC... Kana kwamba kabla yeye hajaja basi Yanga haikuwahi kufanya vema
Hoja yako ipo kwa Mollin kutokuwepo kuwa ndio chanzo cha Folz kufeli. Jambo ambalo mimi nakukatalia.Elewa mkuu wangu
Identity tunazungumzia gamondi sasa si ilitokea yanga walitafuta kocha ambaye mfumo wake ni unaendana na Identity ya team?
Tofautisha namna ya kucheza na Identity
Gamondi nimeelezea wazi alikuwa anapenda kutumia viungo kuliko.mainger nature kabisa lakini bado falsafa yake ilikuwa kumiliki mpira sasa sikuelewi unapobisha kitu
Ukiskia project ni nini? Project ni ya team husika inayobebwa na mkurugenzi kocha aifuate ikiwemo Identity ya team husika tofautisha mfumo na vitu kama hivyo hayo ni ya kocha ndugu..
Sijamtetea folz kama umeona nimesema kuwa soka lake halivutii sababu mfano wewe unataka acheze kama gamondi au nabi kwanini??? That's yanga identity kama unabisha
Basi sasa kwanini usiamini soka la Folz? Kama hata yanga wenyewe wamemtimua kwa kuona anaharibu Identity ya team iliyozoeleka??
Kwamba akiwa kocha tu haiwezi kufanya kazi ipasavyo katika timu hadi awe mkurugenzi wa ufundi ndio timu ifanye vizuri? Hujui kama kuwa kocha ndio una husika moja kwa moja na timu?Kule alikuwa kocha tu
Azam ilikuwa Haina resources sahihi ikiwemo wachezaji
Akaenda KMC sasa kmc pale si hata aje pep bado hawawezi kufanya vizuri ni mid table team.
Eng.Hersi alishauriwa na Kocha Arsene Wenger amchukue Folz.Sijui hata walizingatia nini kumpa timu Folz.
Hata mimi nlishangaa sana.
Dogo kama Folz anayebahatisha bahatisha kumpa timu kama Yanga ni kuishusha thamani timu yetu.
Viongozi wawe makini next time.
Kwahiyo tumekubaliana hata Folz akipata resources sahihi (wachezaji) hatamuhitaji tena huyo Msomali, si ndivyo?Kule alikuwa kocha tu
Azam ilikuwa Haina resources sahihi ikiwemo wachezaji
Tufanye simple tu mchukue gamondi mpeleke KMC akuoe ubingwa kama rahisiKwamba akiwa kocha tu haiwezi kufanya kazi ipasavyo katika timu hadi awe mkurugenzi wa ufundi ndio timu ifanye vizuri? Hujui kama kuwa kocha ndio una husika moja kwa moja na timu?
Yanga tayari ina resources wachezaji sahihi resource iliyokosekana ni Moalim tu iwe kama simu uliopitaKwahiyo tumekubaliana hata Folz akipata resources sahihi (wachezaji) hatamuhitaji tena huyo Msomali, si ndivyo?
Na kama sivyo...
Hiyo KMC na Azam wakipata kocha afu wamrejeshe huyo msomali aje afanye kama alivyofanya Yanga, zingetoboa?
Kila mwenye akili timamu aliona hilo. Derby tulicheza within first 10 minutes, kuna muda timu ilikuwa haieleweki.Ila niwe tu mkweli siku namuona Romain Folz kwa mara ya kwanza kwenye picha, eti ndiyo kocha mpya wa Yanga! Nilishangaa sana! Kuanzia muonekno wake, umri wake, CV yake ya kufundisha mpira nayo ilikuwa haieleweki kivile!! Aisee uongozi wa Yanga ulicheza kamari ya hovyo sana.
All in all, naamini wamejifunza kutokana na makosa yao. Na bila shaka kocha anayekuja atakuwa siyo mgeni tena kama huyu aliye timuliwa.
Kuna watu au mtu alinufaika kwa kumpa mkataba Foz.Sijui hata walizingatia nini kumpa timu Folz.
Hata mimi nlishangaa sana.
Dogo kama Folz anayebahatisha bahatisha kumpa timu kama Yanga ni kuishusha thamani timu yetu.
Viongozi wawe makini next time.
Huu ni upuuzi mwingine.Vipi kuhusu kocha mpya?
Nani anaweza kuchukua nafasi ya Folz?
Kuna tetesi ni Ramovic.
Upo sahihi kwa 100% ila jamaa atakuja kukupinga, ana ubishi fulani ulioambatana na ujuaji.Folz hateteki mkuu, Gamondi alipokuja Yanga hakumkuta huyo Mollin lakini angalia mpira wake. Swala la aina ya mpira sio mkurugenzi wa ufundi ndio anapanga bali ni mfumo wa kocha mwenyewe na staili yake ya uchezaji. Hata angekuwepo huyo Mollin asingesaidia kitu kwasababu huo ndio aina ya mpira wa huyo kocha.
Ukitaka kujua Mollin hapangi aina ya uchezaji wa timu (falsafa) angalia Mollin alivyokuwa na Ramovich kisha alivyokuwa na Miloud Hamdi uchezaji wa timu haukulingana
Jamaa ana hoja dhaifu sana. Bora hata ngara23 ana hoja.Mkuu, unamzungumzia huyo jamaa kana kwamba hakuwahi kufeli Azam na KMC... Kana kwamba kabla yeye hajaja basi Yanga haikuwahi kufanya vema
Mleta mada ana hoja nyepesi sana.Kwamba akiwa kocha tu haiwezi kufanya kazi ipasavyo katika timu hadi awe mkurugenzi wa ufundi ndio timu ifanye vizuri? Hujui kama kuwa kocha ndio una husika moja kwa moja na timu?
Mkuu embu tulia, kaa kimya tu.Yanga tayari ina resources wachezaji sahihi resource iliyokosekana ni Moalim tu iwe kama simu uliopita