Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 16,911
- 28,469
- Thread starter
- #41
Kuna mawiliMkuu embu tulia, kaa kimya tu.
Hujui chochote kuhusu mpira
Au una chuki na mimi
Maana naona umeniongelea sana hapo juu badala ya kujadili hoja nimekupinga kwa fact huwezi kudanganya halafu nikuangalie tu.
Hapana sasa wewe unajifananisha na ngara23 huyu sio mwenzako ana uelewa mkubwa kama wangu sio wewe ambaye hujaona matatizo yaliyopo aidi ya kocha tu basi..
Ukiambiwa kuna matatizo mengi sio kocha tu unabisha unataka nikuamini wewe
OK baki na msimamo wako na mimi nibaki na wangu
Ila yanga tatizo letu ni zaidi ya kocha tulibugi pia sehemu iliyotajwa si kocha pekee!
Kama unaona huwezi kutoa hoja bila kuniattack mimi kaa kimya plastic fan