Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 16,911
- 28,469
- Thread starter
-
- #41
Kuna mawiliMkuu embu tulia, kaa kimya tu.
Hii ndio hoja yako nzito? Pole sana mkuuKuna watu au mtu alinufaika kwa kumpa mkataba Foz.
Kasoro DIARRA TU .Huu ulioleta sio uchambuzi ni ushabiki tu
Tueleze yanga mbovu sehemu gani au eneo gani?
Na je team gani bora kuzidi yanga hapa Tanzania? Kama yanga akiwa mbovu na wengine si wanakuwa taabani kabisa?
Kwa tactics za huyu coach akija kuuliza maswali magumu kimbinu na makocha wakubwa Africa nakuhakikishia tunafungwa 10Kuna mawili
Hujui chochote kuhusu mpira
Au una chuki na mimi
Maana naona umeniongelea sana hapo juu badala ya kujadili hoja nimekupinga kwa fact huwezi kudanganya halafu nikuangalie tu.
Hapana sasa wewe unajifananisha na ngara23 huyu sio mwenzako ana uelewa mkubwa kama wangu sio wewe ambaye hujaona matatizo yaliyopo aidi ya kocha tu basi..
Ukiambiwa kuna matatizo mengi sio kocha tu unabisha unataka nikuamini wewe
OK baki na msimamo wako na mimi nibaki na wangu
Ila yanga tatizo letu ni zaidi ya kocha tulibugi pia sehemu iliyotajwa si kocha pekee!
Kama unaona huwezi kutoa hoja bila kuniattack mimi kaa kimya plastic fan
Gamondi kuchukua ubingwa KMC inawezekana kama anakuta rasilimali za kutosha na zenye viwango na ubora (wachezaji) Mollin alikuwa Azam ambayo imefanya uwekezaji wa kutosha wa wachezaji ila hakuweza kufanya vizuri. Folz kakuta talent, professional players na wachezaji wazawa wenye viwango na ubora ila kashindwa timu kuwa na muunganiko zaidi ya kutegrmea wachezaji mmoja mmoja (Diara na Pacome) kuamua mechiTufanye simple tu mchukue gamondi mpeleke KMC akuoe ubingwa kama rahisi
Then twende sawa
Mimi sitaki tena kuchangia kuhusu huyo Moalin, hoja ya jamaa ni Moalin tu kwamba ndo ameshika ufunguo wa timu kuwa na matokeo bora na perfomance nzuri. Sijui ameanza kuijua Yanga lini.Kwa tactics za huyu coach akija kuuliza maswali magumu kimbinu na makocha wakubwa Africa nakuhakikishia tunafungwa 10
Coaches kama Marcel Kola pale Ahly, Rulan pale AC Algiers, Miguel Cardoso pale Mamelod, Manzeri Kanzar pale es Tunis au Ibenge tu pale Azam
Huyu coach hana mbinu, ana squard kubwa ila selection ya kikosi ni ovyo
Kuhusu Moalin kuhama timu, Moalin sio malaika alifanya vibaya pale Azam na KMC, vile vile Yanga ilifanya vizuri bila yeye coaches kama Nabi, Gamondi, na Saed Ramovic walifanya vyema na yeye hakuwepo
Kumbuka hawa makocha na wachezaji sio Wanachama wa Yanga kama sisi ambao hatuhami timu
Huwezi kufanya vibaya ukasema Moalin hayupo, Kwani Moalin yupo kila timu?
Hawa ni Mashabiki wa Yanga ya MayeleMimi sitaki tena kuchangia kuhusu huyo Moalin, hoja ya jamaa ni Moalin tu kwamba ndo ameshika ufunguo wa timu kuwa na matokeo bora na perfomance nzuri. Sijui ameanza kuijua Yanga lini.
Yanga iliwahi kuwa na wasaidizi wengi tu na timu ikacheza vyema. Pluijim aliichezeshea Al Ahly mpira mkubwa kule Cairo ambao hadi leo hawajawahi kupigishwa ule mpira na Moalin hakuwepo. Moalin si kaja majuzi tu na kasepa? Yanga imewahi kufanya makubwa saana kabla hata huyo Moalin hajaja Yanga.
Kujadili mada kwamba shida ya Yanga ni kutokuwepo kwa Moalin kwangu ni mada nyepesi sana saana isiyo na mashiko hata chembe.
Yamkini hata Yanga ya akina Davis Mwape, Rashidi Gumbo na Bahanuzi hawaikumbuki wakati nayo ilikuwa ya juzi tu.Hawa ni Mashabiki wa Yanga ya Mayele
Kabisa yaniSababu timu mbovu sio uwanja.mbona tulishasema muda kuwa yanga hii ni mbovu ina shinda Kwa uwezo binafsi wa wachezaji na Wala sio mbinu za kocha wewe ilikuwa wapi?shida ya yanga ni injinia hersi ana amini mpira unachezwa zaidi nje ya uwanja kuliko uwanjani.kocha kwake ni ziada tu.