NetMaster
JF-Expert Member
- Sep 12, 2022
- 1,454
- 4,925
Hali ilivyo kuwa jana imeharibu mipango mingi mno, kwa sasa namna pekee ya kulitetea kombe la ligi kuu ni kushinda mecho 3 kati ya nne, nje ya hapo tusubirie maumivu, yapasa tukaze kweli kweli tusilete masikhara hata michezo ya nje ifanyike poa tu, kinachokumbukwa ni michezo ya nje au ubingwa ??
Malengo yawe juu tukifeli basi iwe mecho 2 draw na 2 tushinde, or elseee ??
Kwa mechi 3 za ugenini hasa kule Mbeya naanza kuona ni dhahiri kabisa zilipangwa kwa maksudi ziwe mwishoni mwa ligi
Malengo yawe juu tukifeli basi iwe mecho 2 draw na 2 tushinde, or elseee ??
Kwa mechi 3 za ugenini hasa kule Mbeya naanza kuona ni dhahiri kabisa zilipangwa kwa maksudi ziwe mwishoni mwa ligi