Nikwambie tu kwamba linapokuja suala la mechi za ugenini Yanga huwa inashirikisha sana wadau wa mikoa hiyo ndio maana Yanga inashinda sana mikoani, ni tofauti na Simba wao wanashirikisha kidogo watu wa mikoani kuwa sehemu ya wachezaji wa nje,Figisu itembeeee three matches ziondoke na zero point🤣🤣🤣🤣🤣🤣
umemalizia vizuriNikwambie tu kwamba linapokuja suala la mechi za ugenini Yanga huwa inashirikisha sana wadau wa mikoa hiyo ndio maana Yanga inashinda sana mikoani, ni tofauti na Simba wao wanashirikisha kidogo watu wa mikoani kuwa sehemu ya wachezaji wa nje,
Ila kiufupi ligi imepata ladha hapa, points za kupishan zimekuwa chache na aliemzidi mwenzake ana mechi kama 2 hividume