Yanga tutarudi imara zaidi

Yanga tutarudi imara zaidi

ngara23

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2019
Posts
9,091
Reaction score
21,087
Mchezo ulikuwa mzuri

Mchezo umetuachia somo

Huko mbele tunapoenda tucheze vipi

Majeruhi ya Aucho, Mzizie na Boka yametugharimu sana

Coach ni mzuri nadhani hajaijua timu vizuri anahitaji muda

Yanga kawaida mechi za kimataifa Huwa tunafanya vyema ugenini zaidi

Tushikamane wananchi
Tutashinda game zijazo

Wale wanaoshiriki mashindano ya akina mama msimalize maneno

Yanga bingwa
 
1000194643.jpg
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji38][emoji1][emoji382][emoji382][emoji382][emoji382][emoji382][emoji382][emoji382]
 
Mchezo ulikuwa mzuri
Mchezo umetuachia somo
Huko mbele tunapoenda tucheze vipi
Majeruhi ya Aucho, Mzizie na Boka yametugharimu sana
Coach ni mzuri nadhani hajaijua timu vizuri anahitaji muda
Yanga kawaida mechi za kimataifa Huwa tunafanya vyema ugenini zaidi

Tushikamane wananchi
Tutashinda game zijazo

Wale wanaoshiriki mashindano ya akina mama msimalize maneno

Yanga bingwa
Apo chini nmecheka kwenye yanga bingwa😁
 
Mchezo ulikuwa mzuri
Mchezo umetuachia somo
Huko mbele tunapoenda tucheze vipi
Majeruhi ya Aucho, Mzizie na Boka yametugharimu sana
Coach ni mzuri nadhani hajaijua timu vizuri anahitaji muda
Yanga kawaida mechi za kimataifa Huwa tunafanya vyema ugenini zaidi

Tushikamane wananchi
Tutashinda game zijazo

Wale wanaoshiriki mashindano ya akina mama msimalize maneno

Yanga bingwa
Maamuzi ya kukurupuka, kumfukuza kocha, yatatugharimu pakubwa, huu ni mwanzo tu.

Majeruhi wala sio sababu, gamond amewahi wachezesha kwata mamelod akiwa na majeruhi pia.

Viongozi wajitafakari kabla mambo hayajaharibika zaidi.
 
Mlitabiri Simba haitashinda game 5 mfululizo mkasahau kutabiri timu yenu itafungwa game 3 mfululizo, na kuendelea.

Yanga hiyo unayosema inafanya vizuri ugenini ni ipi hiyo? Msimu uliopita mlifungwa na CRB na Al Ahly, mkatoka droo na wale waghana. Mkatoka droo na Mamelodi. Hamkushinda mechi hata moja ugenini.
 
Back
Top Bottom