Manyanza
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 16,464
- 35,629
🖕🖕🖕We dada na wewe wacha kelele!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🖕🖕🖕We dada na wewe wacha kelele!
Miaka motano mbele labda. Maana msimu ukiisha litimu litasambaratika na wachezaji wazuri wataondoka 🤣🤣🤣🤣Mchezo ulikuwa mzuri
Mchezo umetuachia somo
Huko mbele tunapoenda tucheze vipi
Majeruhi ya Aucho, Mzizie na Boka yametugharimu sana
Coach ni mzuri nadhani hajaijua timu vizuri anahitaji muda
Yanga kawaida mechi za kimataifa Huwa tunafanya vyema ugenini zaidi
Tushikamane wananchi
Tutashinda game zijazo
Wale wanaoshiriki mashindano ya akina mama msimalize maneno
Yanga bingwa
Acha kilimilimi wewe utopolo mshaa shenyentwa tuliaaa mpumelelo fcNi bovu kuliko lile linaloshiriki mashindano ya akina mama
Naskia mna mpango wa kuhama uwanja wa kwa mkapaMchezo ulikuwa mzuri
Mchezo umetuachia somo
Huko mbele tunapoenda tucheze vipi
Majeruhi ya Aucho, Mzizie na Boka yametugharimu sana
Coach ni mzuri nadhani hajaijua timu vizuri anahitaji muda
Yanga kawaida mechi za kimataifa Huwa tunafanya vyema ugenini zaidi
Tushikamane wananchi
Tutashinda game zijazo
Wale wanaoshiriki mashindano ya akina mama msimalize maneno
Yanga bingwa
Naskia mna mpango wa kuhama uwanja wa kwa mkapaMchezo ulikuwa mzuri
Mchezo umetuachia somo
Huko mbele tunapoenda tucheze vipi
Majeruhi ya Aucho, Mzizie na Boka yametugharimu sana
Coach ni mzuri nadhani hajaijua timu vizuri anahitaji muda
Yanga kawaida mechi za kimataifa Huwa tunafanya vyema ugenini zaidi
Tushikamane wananchi
Tutashinda game zijazo
Wale wanaoshiriki mashindano ya akina mama msimalize maneno
Yanga bingwa
Timu bovu ni lile linalofungwa mechi 3 mfululizo. Ni li underdog 😂😂Ni bovu kuliko lile linaloshiriki mashindano ya akina mama
Hizi game zote zinazofuata naona kabisa Yanga anachezea kichapo Yanga mbele majanga hana wa kufunga nyuma majanga mabeki wametepeta katikati majanga yaan mpaka hurumaApo chini nmecheka kwenye yanga bingwa😁
Wasalam walekum shekhe,Mchezo ulikuwa mzuri
Mchezo umetuachia somo
Huko mbele tunapoenda tucheze vipi
Majeruhi ya Aucho, Mzizie na Boka yametugharimu sana
Coach ni mzuri nadhani hajaijua timu vizuri anahitaji muda
Yanga kawaida mechi za kimataifa Huwa tunafanya vyema ugenini zaidi
Tushikamane wananchi
Tutashinda game zijazo
Wale wanaoshiriki mashindano ya akina mama msimalize maneno
Yanga bingwa
lako halijawahi kupigwa tano?Leta timu lako nilipige 5
Koh koh BombooclaaatUtopolo sio wale wanaoshiriki mashindano ya akina mama
😂 eti uto haifungwi kumbe masindano ndio yaliyokuwa yanawapa kiburi . Mdaka upupu kashatobolewa goli 6 mechi 3Na lile linaloshiriki mashindano ya akina mama ambayo ni aibu