Yanga tutarudi imara zaidi

Yanga tutarudi imara zaidi

Mlitabiri Simba haitashinda game 5 mfululizo mkasahau kutabiri timu yenu itafungwa game 3 mfululizo, na kuendelea.

Yanga hiyo unayosema inafanya vizuri ugenini ni ipi hiyo? Msimu uliopita mlifungwa na CRB na Al Ahly, mkatoka droo na wale waghana. Mkatoka droo na Mamelodi. Hamkushinda mechi hata moja ugenini.
Kacheze mashindano yenu ya akina mama
 
Mchezo ulikuwa mzuri
Mchezo umetuachia somo
Huko mbele tunapoenda tucheze vipi
Majeruhi ya Aucho, Mzizie na Boka yametugharimu sana
Coach ni mzuri nadhani hajaijua timu vizuri anahitaji muda
Yanga kawaida mechi za kimataifa Huwa tunafanya vyema ugenini zaidi

Tushikamane wananchi
Tutashinda game zijazo

Wale wanaoshiriki mashindano ya akina mama msimalize maneno

Yanga bingwa
Masomo yatandelea sana. Kikubwa je, mtakuwa mnaelewa?!
Ndio kwanza Topic namba 1 ....
 
Mchezo ulikuwa mzuri
Mchezo umetuachia somo
Huko mbele tunapoenda tucheze vipi
Majeruhi ya Aucho, Mzizie na Boka yametugharimu sana
Coach ni mzuri nadhani hajaijua timu vizuri anahitaji muda
Yanga kawaida mechi za kimataifa Huwa tunafanya vyema ugenini zaidi

Tushikamane wananchi
Tutashinda game zijazo

Wale wanaoshiriki mashindano ya akina mama msimalize maneno

Yanga bingwa
Swali fikirishi kwanini wachezaji wanapata nafasi lakini hawawezi kufunga ?
 
Hakuna cha ugenini kwa ibenge , yule mzee ni katili , kama unakumbuka mara ya mwisho kucheza NAE kwao alisema tutakuwa wazembe sana kufungwa na yanga
 
Acha waendelee kujipma matumaini wakati CD4 zimeshuka muda wowote tunakula ubwabwa wa kupitisha tatu ,hatutaki supu
 
Shabiki maandazi bado huamini kama hilo ni timu bovu pamoja na kufungwa mechi 3 mfululizo. Kwenye group lenu uto ndio underdog.
 
Shabiki maandazi bado huamini kama hilo ni timu bovu pamoja na kufungwa mechi 3 mfululizo. Kwenye group lenu uto ndio underdog.
Ni bovu kuliko lile linaloshiriki mashindano ya akina mama
 
Back
Top Bottom