Apo chini nmecheka kwenye yanga bingwa😁Mchezo ulikuwa mzuri
Mchezo umetuachia somo
Huko mbele tunapoenda tucheze vipi
Majeruhi ya Aucho, Mzizie na Boka yametugharimu sana
Coach ni mzuri nadhani hajaijua timu vizuri anahitaji muda
Yanga kawaida mechi za kimataifa Huwa tunafanya vyema ugenini zaidi
Tushikamane wananchi
Tutashinda game zijazo
Wale wanaoshiriki mashindano ya akina mama msimalize maneno
Yanga bingwa
Goli 5 zinakupa wenge
Nilitaka kuandika kitu fulani...... au basi; nimeghairi.Wanaoteseka ni wale wanaoshiriki mashindano ya akina mama
We dada na wewe wacha kelele!Mlikuwa mna makelele sana aisee
Maamuzi ya kukurupuka, kumfukuza kocha, yatatugharimu pakubwa, huu ni mwanzo tu.Mchezo ulikuwa mzuri
Mchezo umetuachia somo
Huko mbele tunapoenda tucheze vipi
Majeruhi ya Aucho, Mzizie na Boka yametugharimu sana
Coach ni mzuri nadhani hajaijua timu vizuri anahitaji muda
Yanga kawaida mechi za kimataifa Huwa tunafanya vyema ugenini zaidi
Tushikamane wananchi
Tutashinda game zijazo
Wale wanaoshiriki mashindano ya akina mama msimalize maneno
Yanga bingwa
Kuna wenye midomo kama mbulula wa simba?washabiki wa simba ni hamnazo tu na hawajijuiPunguzeni midomo.