Yanga tutarudi imara zaidi

Miaka motano mbele labda. Maana msimu ukiisha litimu litasambaratika na wachezaji wazuri wataondoka ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Naskia mna mpango wa kuhama uwanja wa kwa mkapa
 
We mjinga ulikua unasema yanga inacheza mpira mzuri kuzidi timu za ulaya mara CAF ni Bora kuliko UEFA nikakuambia hivi unaakili timamu kweli yaani ulishupaza shingo eti ulaya hamna mpira haya huo ndio mpira sio jinga kabisa mijitu mieusi waga mibishi sana dizaini yako
 
Naskia mna mpango wa kuhama uwanja wa kwa mkapa
 
We mjinga unaikumbuka hii
 

Attachments

  • Screenshot_20241126-211917.jpg
    188.9 KB · Views: 1
Apo chini nmecheka kwenye yanga bingwa๐Ÿ˜
Hizi game zote zinazofuata naona kabisa Yanga anachezea kichapo Yanga mbele majanga hana wa kufunga nyuma majanga mabeki wametepeta katikati majanga yaan mpaka huruma

Kongfu Masta alisemaje vile?
 
Umeona hii
 

Attachments

  • Screenshot_20241126-211908.jpg
    163.9 KB · Views: 1
Nyingine hii mbumbumbu wewe yaani unafananisha mpira wa Europe na hii ya michangani
 

Attachments

  • Screenshot_20241126-211844.jpg
    180.2 KB · Views: 1
Wasalam walekum shekhe,
Ivi kesho mpanzu master anacheza mazee natanguliza shukrani kwenu๐Ÿ––
 
Sasa kama hao waarabu Koko wanaicharaza hiyo yanga uliyokua unaisifia eti inazifunga timu za ulaya he ikikutana na timu ligi daraja la 6 uingereza si itapigwa 10๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 

Attachments

  • Screenshot_20241126-211917.jpg
    188.9 KB · Views: 1
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ