Headcorner
JF-Expert Member
- Nov 26, 2020
- 205
- 292
Viongozi wa Matawi ya Yanga wamesema watavunja mkataba na Azam kama ikijulikana walihusika kumshawishi mchezaji wao Feisal salum kuvunja mkataba.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wataweza hao vibwengo hawana kituViongozi wa Matawi ya Yanga wamesema watavunja mkataba na Azam kama ikijulikana walihusika kumshawishi mchezaji wao Feisal salum kuvunja mkataba
Sijui Nani kawashauri huu upumbavu waoWataweza hao vibwengo hawana kitu
Labda uhamie India😃Viongozi wa Matawi ya Yanga wamesema watavunja mkataba na Azam kama ikijulikana walihusika kumshawishi mchezaji wao Feisal salum kuvunja mkataba.
View attachment 2460975
Mambo ya kutishiana nyau ni zilipendwa [emoji23]Viongozi wa Matawi ya Yanga wamesema watavunja mkataba na Azam kama ikijulikana walihusika kumshawishi mchezaji wao Feisal salum kuvunja mkataba.
View attachment 2460975
Hao mafukara waache kununua maandazi, mikate, unga, majibya kunnywa, nazi, king'amuzi, na huduma zingine nyingi Kwa utajiri gani walionao
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Hii nchi ina watu milion 60 kuna watu wako huko ileje au tandahimba bidhaa zilizoko huko ni afadhili za Azam zinapatikana.Mbona ni rahisi, just to penetrate into their production and packaging processes na kufanya yao
Kuna Azania group, kuna Metl. Wajinga wengi hajui nguvu ya Boycott kwa taasisi yenye watu wengi mnaleta ushabiki maandazi.Hao mafukara waache kununua maandazi, mikate, unga, majibya kunnywa, nazi, king'amuzi, na huduma zingine nyingi Kwa utajiri gani walionao
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Weka ushabiki pembeni, Yanga na Azzam ni business partners, Sasa partner mmoja akijifanya mjuwaji si vibaya kumuonesha option kama nasi tunaweza kufanya hivi.Mambo ya kutishiana nyau ni zilipendwa [emoji23]