Yanga: Tutavunja mkataba na Azam

Yanga: Tutavunja mkataba na Azam

Weka ushabiki pembeni, Yanga na Azzam ni business partners, Sasa partner mmoja akijifanya mjuwaji si vibaya kumuonesha option kama nasi tunaweza kufanya hivi.

Tena hakuna uhamisho rahisi wa kuchukuwa mchezaji wa Yanga kama Azzam kama wanahitaji, lakini mtu akikupiga ngumi ya sikio na wewe mtandike ngumi ya jicho.

Dawa ya jeuri ni kiburi na siyo vinginevyo.

Dstv INA uwezo pia wa kuvunja mkataba wa Yanga na Azzam wakaingia mkataba wao wa maudhui yote ya Yanga, na usisahau Yanga imeingia kwenye makundi ni faida kwa Azzam halafu unakuja kuihujumu Yanga hiyohiyo na bado uchekewe?
Pumba
 
Kweli ndio maana timu zetu Haziendelei. Kama wenye vilabu hivi ndio hawa Ambao wanataka mchezaji Acheze kwenye timu yao kwa mapenzi na sio Maslai Yake basi tuna safari ndefu sana kwenye maendeleo ya timu zetu.

Kwa Kijana kama fei Kuzeeka huna future ni Ujinga wa kupindukia.

Utakapo kuja kudharauliwa hawa wazee hawata kuletea hata mkate nyumbani mwako, utapambana na Hali yako.

Wamwache Kijana Akatengeneze Maisha Yake.
 
Mna uwezo huo? Nakereka na kuchukia jinsi ambavyo masikini akili yake haitaki kubadilika! Laana.
 
Manara alikuwa sahihi ukimtoa kikwete na baba ake mashabiki wote wa Yanga waliobaki hawana akili wao walivyolazimisha sure boy kuvunja mktaba na azam wao si ndio waliompa jeuri
Biblia inasema kipimo ukipimiacho wengine nawe utapimwa kwa kipimo hicho hicho
Utopolo tulieni dozi iwaingie
 
Viongozi wa Matawi ya Yanga wamesema watavunja mkataba na Azam kama ikijulikana walihusika kumshawishi mchezaji wao Feisal salum kuvunja mkataba.

View attachment 2460975
Hawa nao wameanza kuwa na akili kama zile za mashabiki wa simba, walioitwa mbumbumbu na mwenyekiti wao wa wakati huo; Ismail Aden Rage!!

Kwani sheria hazipo mpaka wafikie hatua hiyo?
 
Watu wakiamuwa kumaliza utawala wako wanaumaliza, ni vizuri ukiendelea kula na vipofu usiwachukulie powa.

Unaelewa historia ya nishati ya oil na gas kuanza kusafirishwa kwa pipeline badala ya meli?
Acha kupiga mikwara watu wewe,huyo GSM akisikia habari za bakhresa anatetemeka......hao gsm elfu kumi ndio sawa na SSB ......

TOA UTOPOLO WAKO HUKO
 
Kuna Azania group, kuna Metl. Wajinga wengi hajui nguvu ya Boycott kwa taasisi yenye watu wengi mnaleta ushabiki maandazi.

Kama kuna mtu anaombea hili lifanyike basi ni tajiri yenu Mo Dewji, yeye ndio mnufaika wa hili.
We mcheza uchi fc Mo anahusikaje na upumbavu wa wazee wako?
 
Back
Top Bottom