Yanga: Tutavunja mkataba na Azam

Yanga: Tutavunja mkataba na Azam

Hii nchi ina watu milion 60 kuna watu wako huko ileje au tandahimba bidhaa zilizoko huko ni afadhili za Azam zinapatikana.


Hao walioko Dar ni mafukara waliopewa mdomo WA kuongea Ila hawana huo uwezo. Watoe ving'amuzi vyao Leo.


NB: wanachokifanya hapo ni kosa kisheria Issue ya Faisal toto ni Azam FC Ila wanaenda kupaka matope biashara zingine za Azam ( Two different entities).... Wakipelekwa mahakamani msianza kuja hapa kuwaombea misamaha

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
not two different entities but two affiliated entities
 
Hapo ndo nakumbuka kauli ya Haji Manara, Pale Yanga watu wenye akili ni wawili tu Mzee JK na Sunday Manara basi
 
Wazee wa Dasalamu😄😄😄😄msiwachukukue poa kabisa. Huwa wanatangulizwa hawa. Azam wajiangalie
 

Attachments

  • IMG-20221227-WA0015.jpg
    IMG-20221227-WA0015.jpg
    135.9 KB · Views: 2
Yusuf amepata wapi pesa?

Kwa hiyo ukipewa hela na nmb hiyo kampuni inakuwa ni ya nmb ,Jinga wewe. Kichwa kimejaa mlenda!

Nenda kasome sheria kampuni halafu uje kutapika. Wenzako walipokuwa wanasoma hivi vitu ulikuwa Unawinda ndege porini.

Halafu unajua kuendesha kampeni za boycotting Kwa kampuni ni kosa la defamation? Msije mkaburuzwa mahakamani mkaanza kutia huruma

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom