Yanga: Tutavunja mkataba na Azam

Yanga: Tutavunja mkataba na Azam

Weka ushabiki pembeni, Yanga na Azzam ni business partners, Sasa partner mmoja akijifanya mjuwaji si vibaya kumuonesha option kama nasi tunaweza kufanya hivi.

Tena hakuna uhamisho rahisi wa kuchukuwa mchezaji wa Yanga kama Azzam kama wanahitaji, lakini mtu akikupiga ngumi ya sikio na wewe mtandike ngumi ya jicho.

Dawa ya jeuri ni kiburi na siyo vinginevyo.

Dstv INA uwezo pia wa kuvunja mkataba wa Yanga na Azzam wakaingia mkataba wao wa maudhui yote ya Yanga, na usisahau Yanga imeingia kwenye makundi ni faida kwa Azzam halafu unakuja kuihujumu Yanga hiyohiyo na bado uchekewe?
Kwahiyo mechi za NBC premier League mtasikiliza tu TBC fm?
 
Weka ushabiki pembeni, Yanga na Azzam ni business partners, Sasa partner mmoja akijifanya mjuwaji si vibaya kumuonesha option kama nasi tunaweza kufanya hivi.

Tena hakuna uhamisho rahisi wa kuchukuwa mchezaji wa Yanga kama Azzam kama wanahitaji, lakini mtu akikupiga ngumi ya sikio na wewe mtandike ngumi ya jicho.

Dawa ya jeuri ni kiburi na siyo vinginevyo.

Dstv INA uwezo pia wa kuvunja mkataba wa Yanga na Azzam wakaingia mkataba wao wa maudhui yote ya Yanga, na usisahau Yanga imeingia kwenye makundi ni faida kwa Azzam halafu unakuja kuihujumu Yanga hiyohiyo na bado uchekewe?
Sasa yanga kuingia makundi Ina uhusiano gani na Azam? Azam hana haki ya kuonyesha michuono ya caf hatua ya makundi ndiomaana unaona Ile michuono kupitia zbc2
 
Huna akili, maudhui yote ya Yanga ni Mali ya Azzam.
 
Viongozi wa Matawi ya Yanga wamesema watavunja mkataba na Azam kama ikijulikana walihusika kumshawishi mchezaji wao Feisal salum kuvunja mkataba.

View attachment 2460975
Hilo ndio waswahili tunaweza… domodomo na lopolopo

They don’t even know how clubs are run

Wakitoka hspo wanakwenda kugongesha
 
Weka ushabiki pembeni, Yanga na Azzam ni business partners, Sasa partner mmoja akijifanya mjuwaji si vibaya kumuonesha option kama nasi tunaweza kufanya hivi.

Tena hakuna uhamisho rahisi wa kuchukuwa mchezaji wa Yanga kama Azzam kama wanahitaji, lakini mtu akikupiga ngumi ya sikio na wewe mtandike ngumi ya jicho.

Dawa ya jeuri ni kiburi na siyo vinginevyo.

Dstv INA uwezo pia wa kuvunja mkataba wa Yanga na Azzam wakaingia mkataba wao wa maudhui yote ya Yanga, na usisahau Yanga imeingia kwenye makundi ni faida kwa Azzam halafu unakuja kuihujumu Yanga hiyohiyo na bado uchekewe?
Crap
 
Back
Top Bottom