Mbwiga mwingine huyu hapa.Nani unamtishia nyau?Weka ushabiki pembeni, Yanga na Azzam ni business partners, Sasa partner mmoja akijifanya mjuwaji si vibaya kumuonesha option kama nasi tunaweza kufanya hivi.
Tena hakuna uhamisho rahisi wa kuchukuwa mchezaji wa Yanga kama Azzam kama wanahitaji, lakini mtu akikupiga ngumi ya sikio na wewe mtandike ngumi ya jicho.
Dawa ya jeuri ni kiburi na siyo vinginevyo.
Dstv INA uwezo pia wa kuvunja mkataba wa Yanga na Azzam wakaingia mkataba wao wa maudhui yote ya Yanga, na usisahau Yanga imeingia kwenye makundi ni faida kwa Azzam halafu unakuja kuihujumu Yanga hiyohiyo na bado uchekewe?
Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app