Yanga: Tutavunja mkataba na Azam

Hizi ni dharau kwa mchezaji.....


Ila hawa wazee si ndio wale wala mihogo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]


Yaani wameshiba mihogo yao wanakuja kuvunja mkataba wa azam[emoji23][emoji23]
Utopolo haishi vituko
 
Tatizo litakuwa kwa wake zao na watoto wao wanapenda kulamba lamba ule utamu wa azam ice cream na ukwaju. Wawataftie kwanza wake zao vya kulamba kabla hawajafikia uamuzi wa kipuuzi wa kususa. Maana wataenda kulambishwa nje ya nyumba zao.
 
Wapumbavu hao wanajua hela anayotoa Azam kwenda yanga.makolo hao hawawezi kuwa yanga.feisal takataka hiyo ndio mkataba wa mabilioni uvunjike.
 
Mbona ni rahisi, just to penetrate into their production and packaging processes na kufanya yao
Hii nchi ina watu milion 60 kuna watu wako huko ileje au tandahimba bidhaa zilizoko huko ni afadhili za Azam zinapatikana.


Hao walioko Dar ni mafukara waliopewa mdomo WA kuongea Ila hawana huo uwezo. Watoe ving'amuzi vyao Leo.


NB: wanachokifanya hapo ni kosa kisheria Issue ya Faisal toto ni Azam FC Ila wanaenda kupaka matope biashara zingine za Azam ( Two different entities).... Wakipelekwa mahakamani msianza kuja hapa kuwaombea misamaha

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Hao mafukara waache kununua maandazi, mikate, unga, majibya kunnywa, nazi, king'amuzi, na huduma zingine nyingi Kwa utajiri gani walionao

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Kuna Azania group, kuna Metl. Wajinga wengi hajui nguvu ya Boycott kwa taasisi yenye watu wengi mnaleta ushabiki maandazi.

Kama kuna mtu anaombea hili lifanyike basi ni tajiri yenu Mo Dewji, yeye ndio mnufaika wa hili.
 
Mambo ya kutishiana nyau ni zilipendwa [emoji23]
Weka ushabiki pembeni, Yanga na Azzam ni business partners, Sasa partner mmoja akijifanya mjuwaji si vibaya kumuonesha option kama nasi tunaweza kufanya hivi.

Tena hakuna uhamisho rahisi wa kuchukuwa mchezaji wa Yanga kama Azzam kama wanahitaji, lakini mtu akikupiga ngumi ya sikio na wewe mtandike ngumi ya jicho.

Dawa ya jeuri ni kiburi na siyo vinginevyo.

Dstv INA uwezo pia wa kuvunja mkataba wa Yanga na Azzam wakaingia mkataba wao wa maudhui yote ya Yanga, na usisahau Yanga imeingia kwenye makundi ni faida kwa Azzam halafu unakuja kuihujumu Yanga hiyohiyo na bado uchekewe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…