Yanga: Tutavunja mkataba na Azam

Mbwiga mwingine huyu hapa.Nani unamtishia nyau?

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
 
Unajikutaga mjanja kumbe kiande mtu umelewa ugoro waliotema hao wazee wako vihiyo
 
Kwani HAJAFIKA tu kambini AVIC TOWN? Si tunaambiwa ameomba na msamaha na KUKIRI kosa?

Nchi ya wajinga, ujinga umetamalaki, ujinga umeshika usukano na unaongoza njia, viongozi wa nchi ya wajinga wanatumia ujinga wa wananchi wao kama MTAJI katika kuficha madhaifu yao.

Nyakati hizi za kilo ya mchele 3,000 -3,500 (Afutatu , mpaka Afutatu miatano), maharage kilo 3,400 (Afutatu mianne) na vyakula vingine bei zikiwa zimepanda sana. Kuna ujinga wa kuambiana usinunue CHAKULA kwa yule kisa wamesajili mchezaji wetu.

Watu wenyewe tunakula TUNACHOKIONA sio TUNACHOKITAKA halafu tuongezewe na ujinga wa kuchagua anauza fulani usinunue. Ukiuliza kisa nini wamemchukua mchezaji wetu.

Wakati huo huo Uongozi wa Yanga umetuma barua ya kiofisi kuomba kusajili wachezaji 2 wa Azam FC. Huku kwenye nchi ya wajinga ambako ujinga umetamalaki tunaambiwa tusinunue bidhaa zao kisa kuna wajinga wenzetu wanasema Azam wanamtaka FEI.

Katika nchi ya wajinga pekeyake ndiko ambako wananchi tunaaminishwa mpira sio biashara mpaka pale sisi tunapotaka kununua au kuuza. Wenzetu wakitaka kwetu haikubaliki. WAJINGA NDIO WALIWAO.

BIN KAZUMARI MTIPA (The voice of the voiceless)
 
Hao ni wawakilishi wa kundi kubwa sana la wajinga tuliokuwa nao huku mtaani wanaoona sawa tu tukiibiwa rasilimali zetu na corrupt leaders.

Level of ignorance nchini mwetu ni ya kiwango cha juu mno.
 
Hao ni wawakilishi wa kundi kubwa sana la wajinga tuliokuwa nao huku mtaani wanaoona sawa tu tukiibiwa rasilimali zetu na corrupt leaders.

Level of ignorance nchini mwetu ni ya kiwango cha juu mno.
Hakuna mtu mwenye akili timamu anaweza kuwa Ccm, wewe ni sehemu ya watu wajinga zaidi na maccm wenzako.
 
We mcheza uchi fc Mo anahusikaje na upumbavu wa wazee wako?
Wewe endelea kukaa mauno tu, hujui hata METL ya Mohammed Dewji wanauza bidhaa gani?

Ajabu la 8 la dunia, Tanzania wajinga ndio wanawaona welevu ni wajinga, very interesting walahi.
 
Ama kweli kosa pesa, upate akili. Sasa hawa nao ni ujinga gani, wanataka kuanza kufanya.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hizi ni dharau kwa mchezaji.....


Ila hawa wazee si ndio wale wala mihogo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]


Yaani wameshiba mihogo yao wanakuja kuvunja mkataba wa azam[emoji23][emoji23]
Utopolo haishi vituko
 
elimu ya kukariri hiyo mkubwa ,Simba mnateseka sAna. Bakhresa amejiweka pembeni ili aweze kuinunua Simba Mo akisusa, huyo yusuf bakhresa ana hela?
 
So asbuh hatuli chapati
Na ukwaju je.du mahisha yatarudi stone hage
 
Wewe endelea kukaa mauno tu, hujui hata METL ya Mohammed Dewji wanauza bidhaa gani?

Ajabu la 8 la dunia, Tanzania wajinga ndio wanawaona welevu ni wajinga, very interesting walahi.
Tangu ucheze uchi kwenye ile clip ulambwa kalio akili zako zimehama Mo ahusiki na utahira wa wazee wako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…