Mwishokambi
JF-Expert Member
- Nov 23, 2020
- 390
- 1,425
Kuna mkakati wa makusudi unafanywa na baadhi ya wachambuzi kuisema vibaya Simba na kuiunga mkono Yanga hata inapoenda mrama, we timu imefanya usajili wa kufa mtu, msimu huu inakwenda kubahatisha tena ligi ya mabingwa afrika ndio maana wanaomba CAF waanzie ugenini ili wapate mteremko, halafu mnakwenda Bigwa kweli pre season.
Simba wako very strategic, Azam nao hivyo, timu za kaskazini zimekuwa zikitusumbua sana, dawa yao ni kwenda huko huko kwao kwenye pre season ili tujifunze wanafanyaje fanyaje had wanatupiga miguu ya bajaj au kifurushi? Simba inakwenda kucheza mechi za kirafiki na Ismailia na Pyramids, pamoja na national team ya under 20.Hayo ndio mambo.
Sio unamtoa mtu ivory Coast umevunja kibubu halafu unakwenda Morogoro, ukacheze na mtibwa na moro United.
Hayo yote wachambuzi feki wamekaa kimya kumuogopa mzungu pori na Rais wao, shame on you.