Yanga usajili wote huo mnakwenda kuweka kambi Bigwa, Morogoro, kweli nyie ni wa kimataifa au wa hapa hapa?

Mwishokambi

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2020
Posts
390
Reaction score
1,425
Kuna mkakati wa makusudi unafanywa na baadhi ya wachambuzi kuisema vibaya Simba na kuiunga mkono Yanga hata inapoenda mrama, we timu imefanya usajili wa kufa mtu, msimu huu inakwenda kubahatisha tena ligi ya mabingwa afrika ndio maana wanaomba CAF waanzie ugenini ili wapate mteremko, halafu mnakwenda Bigwa kweli pre season.

Simba wako very strategic, Azam nao hivyo, timu za kaskazini zimekuwa zikitusumbua sana, dawa yao ni kwenda huko huko kwao kwenye pre season ili tujifunze wanafanyaje fanyaje had wanatupiga miguu ya bajaj au kifurushi? Simba inakwenda kucheza mechi za kirafiki na Ismailia na Pyramids, pamoja na national team ya under 20.Hayo ndio mambo.

Sio unamtoa mtu ivory Coast umevunja kibubu halafu unakwenda Morogoro, ukacheze na mtibwa na moro United.

Hayo yote wachambuzi feki wamekaa kimya kumuogopa mzungu pori na Rais wao, shame on you.
 
Nashangaa wachambuzi wa kibongo wanavyoiponda simba. Nadhani management ya simba iendelee na mambo yake vitendo vitawaziba midomo.
Timu haiwezi kusajili wachezaji wapya wengi bali inatakiwa kuangalia kuna pengo wapi lizibwe. Binafsi naipongeza simba kwa usajili mzuri usio wa kukutupuka.
#NguvuMoja
 
Kuna mkakati wa makusudi unafanywa na baadhi ya wachambuzi kuisema vibaya Simba na kuiunga mkono Yanga hata inapoenda mrama, we timu imefanya usajili wa kufa mtu, msimu huu inakwenda kubahatisha tena ligi ya mabingwa afrika ndio maana wanaomba CAF waanzie ugenini ili wapate mteremko, halafu mnakwenda Bigwa kweli pre season.

Simba wako very strategic, Azam nao hivyo, timu za kaskazini zimekuwa zikitusumbua sana, dawa yao ni kwenda huko huko kwao kwenye pre season ili tujifunze wanafanyaje fanyaje had wanatupiga miguu ya bajaj au kifurushi? Simba inakwenda kucheza mechi za kirafiki na Ismailia na Pyramids, pamoja na national team ya under 20.Hayo ndio mambo.

Sio unamtoa mtu ivory Coast umevunja kibubu halafu unakwenda Morogoro, ukacheze na mtibwa na moro United.

Hayo yote wachambuzi feki wamekaa kimya kumuogopa mzungu pori na Rais wao, shame on you.
🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮
 
Baraka Mpenja be like
"Sakho sasa...Sakho anatembea na Joyce,Sakho anamlaza Joyce chini paleeee...Sakho anamlamba Joyce... namna gani palee?? Rwfa anasemaje...?? Refa anasema ni baoo...Sakho anapiga bao moja zito sana!!!

😂😂
 
Katibu msaidizi wa vijana wa hovyo Tanzania yupo kazini
 
Kuna msemo unasema kambi popote.

Tusiwaseme saana watani zetu, tusubiri msimu uanze.
Kambi inajumuisha vitu viingi saana, ingekuwa ubora tu, basi timu za uingereza ziingekuwa zinatoka au kwenda vinchi vidogo mfano wa kama Austria huko.
 
Kuna mkakati wa makusudi unafanywa na baadhi ya wachambuzi kuisema vibaya Simba na kuiunga mkono Yanga hata inapoenda mrama, we timu imefanya usajili wa kufa mtu, msimu huu inakwenda kubahatisha tena ligi ya mabingwa afrika ndio maana wanaomba CAF waanzie ugenini ili wapate mteremko, halafu mnakwenda Bigwa kweli pre season.

Simba wako very strategic, Azam nao hivyo, timu za kaskazini zimekuwa zikitusumbua sana, dawa yao ni kwenda huko huko kwao kwenye pre season ili tujifunze wanafanyaje fanyaje had wanatupiga miguu ya bajaj au kifurushi? Simba inakwenda kucheza mechi za kirafiki na Ismailia na Pyramids, pamoja na national team ya under 20.Hayo ndio mambo.

Sio unamtoa mtu ivory Coast umevunja kibubu halafu unakwenda Morogoro, ukacheze na mtibwa na moro United.

Hayo yote wachambuzi feki wamekaa kimya kumuogopa mzungu pori na Rais wao, shame on you.
Ushindi wa utopolo hautokani na mazoezi,kambi nje ya nchi na wala coach wanayemwita professor kwani hadi sasa hata hawajampa mkataba ijapo ule was awali umeisha.

Ushindi wa utopolo unatokana na wazee wa Lindi na pesa chafu ambazo wachambuzi wengine wananunuliwa viatu na suti za blue za kupiga nazo picha insta.
 
Wachezaji walosajiliwa lzm wavijue viwanja vyetu vyema kabisa

Tuna kocha wa kiarabu waarabu hawawezi kutuzingua kbs

Nyie ambao hamna kocha wa namna hiyo nendeni huko mkajifunze .

Viwanja vzr siyo changamoto kwetu changamoto ni viwanja vibovu

Pili twajifungia hakuna atakayejua mbinu zetu

Yanga bingwa Tena na tana

Sent from my Nokia C1 using JamiiForums mobile app
 
Baraka Mpenja be like
"Sakho sasa...Sakho anatembea na Joyce,Sakho anamlaza Joyce chini paleeee...Sakho anamlamba Joyce... namna gani palee?? Rwfa anasemaje...?? Refa anasema ni baoo...Sakho anapiga bao moja zito sana!!!

[emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka kwa sauti hapa, khaaaaah.
Ila msimu ujao, utakua wa motooo.
 
Ni ushamba tu unatusumbua,haina haja ya kwenda mbali kama facilities zipo hapa hapa, kuna jamaa kawekeza sana Arusha...... niliwahi fanya tour pale.... natamani Yanga wakatulie kule
 
Back
Top Bottom