Yanga usajili wote huo mnakwenda kuweka kambi Bigwa, Morogoro, kweli nyie ni wa kimataifa au wa hapa hapa?

πŸ‘‡πŸ˜πŸ˜πŸ˜
Your browser is not able to display this video.
 
Ukiondoa kick hakuna hoja ya msingi mwaka huu kuweka lambi nje ya nchi.
1. Wachezaji muhimu wako Taifa stars ni ngumu Kujiunga na hiyo kambi. Na hats wakienda watakuwepo si zaidi ya siku 2
2. Muda umekuwa finyu. Hao wachambuzi wanasema pre-season inatakiwa iwe wiki 6
3. Uchovu wa safari
4. Baada ya Kiatu cha George Mpole, si tulikubaliana tupende vya ndani au Basi?
 
Na ile ya Kambi ya Uturuki ni kama vile jamaa kafanya booking lodge au hoteli halafu baadae Demu anasema hawezi kutoka babaake amerudi nyumbani.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbavu zangu mie.
 
Hivi Hawa wachambuzi maandazi,nikwamba utoporo huwa wanawatembezea bahasha za kaki au!? Maana wao kutwa kuisifia yanga na kuiponda Simba
 
Hivi Hawa wachambuzi maandazi,nikwamba utoporo huwa wanawatembezea bahasha za kaki au!? Maana wao kutwa kuisifia yanga na kuiponda Simba
Imagine Simba ndio ingeweka kambi Bigwa, Mo angetukanwa kila aina ya matusi
 
Kazurureni Uturuki mashindano yakianza muendelee kuwasha moto uwanjani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…