Yah wanasahu kuna goal difference huko mbele kutokana na kundi Lao lilivyoTatizo wanacheza kama wanacheza ligi,Hawa MO Bejaia ni timu ya kawaida lakini wanajua kucheza haya mashindano
Wakisawazisha majangaHizi nafasi wanazokosa yanga watajuta endapo jamaa watasawazisha
huyu kuna uwezekano tukamfungashia vilago leo leoHuyu Chirwa akifanya haya mambo mechi ya Simba na Yanga ndio itakuwa mwisho wake kucheza hapa bongo