Yanga Vs Mo Bejaia: Yanga yashinda 1 - 0 Mo Bejaia

Yanga Vs Mo Bejaia: Yanga yashinda 1 - 0 Mo Bejaia

Tatizo wanacheza kama wanacheza ligi,Hawa MO Bejaia ni timu ya kawaida lakini wanajua kucheza haya mashindano
Yah wanasahu kuna goal difference huko mbele kutokana na kundi Lao lilivyo
 
Ngoma angekuwepo zote hizo wanazokosa angekuwa ameshacheka Na nyavu
 
Hii ilikuwa mechi ya kushinda goli 5 hata kama tunatolewa
 
Yanga wanaweka historia ya kupata ushindi wa kwanza hatua ya makundi(nane bora) michuano ya Afrika.
 
Back
Top Bottom