Ta Muganyizi
R I P
- Oct 19, 2010
- 5,355
- 2,736
Mpira umeisha...............Yanga 1 Mo bajeia 0
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Leo nalala usingiziYanga 1 - 0 Mo bejaia
Ila jamaa fighter sana sema tu hatulii mbele ya langohatimaye yanga tumetoka kifua mbele, ila huyu chirwa kasababisha tuondoke na ushindi kiduchu, ingekuwa mechi za mchangani huyu jamaa tungekuwa tunaongea mengine
ahsante sana wana mikia, tunajua mnafahamu sana mikiki yetu ila mnajitoa ufahamu tu wakati mwingine. WAKIMATAIFAAAAAAAAAAAAAAwell done kandambili
Bahati haikuwa ya Chirwa na Msuva leoDah! Kuna tatizo kubwa sana la ufungaji Yanga wanakosa magoli ya wazi kabisa.....
Mchezaji wetu ujue!Yanga bila Munish sijui ingekuwaje!
Kweli timu ya Yanga kama kawaida ya timu zetu za Tanzania nafasi za wazi kabisa hakuna magoli, anyway wanapata ''uzoefu'' wa kimataifa.
fighter wapi mtu mwenyewe muda wote anaangalia, huyu hata golini pasiwepo golikipa yeye atakosa tuIla jamaa fighter sana sema tu hatulii mbele ya lango
fighter wapi mtu mwenyewe muda wote anaangalia chini huyu hata golini pasiwepo golikipa yeye atakosa tu
Mchezaji wetu ujue!