kinje ketile
JF-Expert Member
- Dec 12, 2015
- 5,089
- 9,664
Yanga ni nzuri wakikutana na timu mbovuUko sahihi kabisa. Wachezaji wetu wamezoea kucheza na kelele za mashabiki. Leo Fei Toto siyo yule wa siku zote! Mukoko tangu alipo tuchomesha kwenye fainali ya Kombe la Shirikisho, ameendelea kuwa yule yule!
Zawadi Mauya ni homa za vipindi! Anyway, labda vijana wanaweza kubadilika. Ila kwa hizi dk 45 za kwanza, nakubali tumecheza mpira wa kawaida sana ukilinganisha na wapinzani wetu.
Tulishaziombea Azam na Biashara na tayari Mungu alishasikia maombi yetu.acheni ufara hiombeeni timu inayowakilisha taifa lenu
Subiri kwanza..utarudi baada ya gemu alafu hapa kijiweni unamwacha Nani wakati wenzio wote wamekimbia🤣🤣Hii game tunashinda kabisa
Nitarudi Baada ya game
Tutaelewanaaa tuuKwanini kocha asifanye sub, huyu si msomi sana, kiungo ya yanga imepotea, kwanini asiingie either yule mburundi au kaseke au bangala
Imeisha hioHii game tunamaliza second half