Yanga vs Rivers United (0-1) | CAFCL | Uwanja wa Mkapa Dar es Salaam

Yanga vs Rivers United (0-1) | CAFCL | Uwanja wa Mkapa Dar es Salaam

Uko sahihi kabisa. Wachezaji wetu wamezoea kucheza na kelele za mashabiki. Leo Fei Toto siyo yule wa siku zote! Mukoko tangu alipo tuchomesha kwenye fainali ya Kombe la Shirikisho, ameendelea kuwa yule yule!

Zawadi Mauya ni homa za vipindi! Anyway, labda vijana wanaweza kubadilika. Ila kwa hizi dk 45 za kwanza, nakubali tumecheza mpira wa kawaida sana ukilinganisha na wapinzani wetu.
Yanga ni nzuri wakikutana na timu mbovu
 
acheni ufara hiombeeni timu inayowakilisha taifa lenu
Tulishaziombea Azam na Biashara na tayari Mungu alishasikia maombi yetu.
Hawa unaowataka wewe walijiandaa kwa ajili ya Tamasha tu na sio maandalizi ya timu. Mungu alishalibariki Tamasha akaja Kofii Olomide na Haji wakatumbuiza. Inatosha.

Okwa Kapumbu tayari kashatoboa tundu huko.
 
Back
Top Bottom