Yanga vs Rivers United (0-1) | CAFCL | Uwanja wa Mkapa Dar es Salaam

UPDATES

00' Kipenga kinapulizwa kuashiria mwanzo wa mchezo na Yanga inaanza kwa kushambulia lango la Rivers, hata hivyo shuti linapaa juuu.

03' Rivers wanafika lango la Yanga, Adeyum katika jitihada za kuokoa anagongana kichwa na mchezaji wa Rivers

05' Ukwa Nelson anaingia lango la Yanga kwa kuwapunguza msururu wa mabeki, juhudi zake zinaishia hewani.

19' Almanusura Adeyum aweke goli kupitia mpira wa adhabu ndogo kuelekea lango la Rivers

20' Makambo anapiga shuti kali la chini na kutoka nje kidogo ya lango la Rivers

24' Makambo anataka goli kama alilowaweka Zanako lakini inakataa

28' Yakuba anashindwa kuandika bao la kwanza baada ya mpira kuponyoka mlinda mlango kwa kupiga kichwa fyongo

41' Rivers wanaingia kwenye lango la Yanga, shuti linatoka nje ya lango

45+2' Mpira unakwenda mapumziko

51' ⚽Moses anaiwekea Rivers bao la kwanza, Yanga 0-1 Rivers

64' Feisal Salum anapata nafasi ya kusawazisha baada ya Makambo kuuruka mpira lakini anapaisha juuu

85' Mlinda mlango anagagaa chini baada ya shuti kali kumpiga usoni katika harakati za kuokoa

90+4' Yanga wamelala nyumbani kwa kutandikwa 0-1 na Rivers United uwanja wa Mkapa Dar es Salaam, Tanzania. Wanatarajia kucheza mchezo wa marudiano nchini Nigeria.

Ili wasonge mbele wanahitaji ushindi nchini Nigeria au sare yoyote ya magoli inayozidi 1-1

=========

View attachment 1934361

Wawakilishi wa Tanzania kwenye michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika, Dar es Salaam Young Africans (Yanga) leo watashuka kwenye dimba la uwanja wa Benjamin Mkapa kupambana na timu ya Rivers United katika mechi ya kwanza ya hatua ya awali ya mashindano hayo

Baada ya mechi hii, timu hizo zitarudiana tarehe 19/09/2021 ili kuweza kupata mshindi atakayefuzu kwenye hatua inayofuata

Ungana nami nikikuletea kinachojiri katika mpambano huo

#RetunsOfChampions

Kikosi Cha Yanga

1. Diarra
2. Kibwana
3. Adeyum
4. Job
5. Mwamnyeto
6. Mukoko
7. Jesus
8. Mauya
9. Makambo
10. Feisal
11. Yacouba
H 9M

Haya ndio matokeo unamlipa msemaji wa timu M9 na mchezaji Laki 7
 
Sisasa nyingi..maneno mengi..hamna kitu..
Deep down..Manara hata hajaumia..
Mimi bado ni miongoni mwa tunaoamini Manara damuni ni Simba..ila maslahi na ugomvi na CEO na Mo ndio unamtoa mapovu hivi..

Sent from my SM-A405FN using JamiiForums mobile app
Manara alikuwa anacheka, ila barakoa ilifanya tusione kicheko chake
 
Kwa mara ya kwanza nimeona mechi leo kibendera anacheka wachezaji[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Kunguru 30978

Anatoka top scorer wa timu anaingia most poor scorer wa timu afu benchi namuona kaseke analalamikalalamika
Sasa wewe kaseke ungeenda kufanya nini mule[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Rivers hawakutaka ushindi mnono counter zote wanaenda wachezaji 2 au mmoja
Kuna kuweza kucheza mpira na kuweza kufunga au bahati ya kufunga. Kaseke angechomowa ule mwiko hakika. Bahati na utulivu golini anao
 
Embu mzee kua na akili basi

Yanga sajilini wachezaji wa maana
Futa mentality ya kwamba ile ni ligi kuu ile ni CL kaseke atafanya nini? Angalia ubora wa yanga kwenye rank ...angalia stats za mchezaji last season tena sio CL bali ligi kuu tz alikua ana magoli mangap?

Utulivu kama angekua anao angekua ana decent goal number
Sasa kama tu polisi tanzania anahangaishana nao unafikiri CL itakuaje? Embu changamka basi uto..
Na huu mwiko wa leo bado tu hamzibuki huko nyuma
 
-Feisal Salum clear chance to score
-Yusuph Athuman one against one with goalkeeper
-Makambo two unlucky chances

-Zawadi Mauya poor mildified defending
-No threat movements for Ducapel Moloko
-Lack of clear penetration passes
-Lack of sure creative mildifieder

Football refer to a game of mistakes
One mistake, One goal

Unlucky day for Yanga
Let's go back champions
First leg is for them but second leg is for us with more goals
 
Tuna watu
Screenshot_20210912-194412_WhatsApp.jpg
 
Back
Top Bottom