Nyamizi
Platinum Member
- Feb 19, 2009
- 9,186
- 13,757
Dah haya wakuu ! Simba mna roho mbaya sana nyie[emoji3]
Usimkatae tu ndugu yangu,tulikuwa pamoja tangu mwanzo wa mechi[emoji1787][emoji1787]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah haya wakuu ! Simba mna roho mbaya sana nyie[emoji3]
Roho mbaya tu! SiwapendiiUsimkatae tu ndugu yangu,tulikuwa pamoja tangu mwanzo wa mechi[emoji1787][emoji1787]
H 9MUPDATES
00' Kipenga kinapulizwa kuashiria mwanzo wa mchezo na Yanga inaanza kwa kushambulia lango la Rivers, hata hivyo shuti linapaa juuu.
03' Rivers wanafika lango la Yanga, Adeyum katika jitihada za kuokoa anagongana kichwa na mchezaji wa Rivers
05' Ukwa Nelson anaingia lango la Yanga kwa kuwapunguza msururu wa mabeki, juhudi zake zinaishia hewani.
19' Almanusura Adeyum aweke goli kupitia mpira wa adhabu ndogo kuelekea lango la Rivers
20' Makambo anapiga shuti kali la chini na kutoka nje kidogo ya lango la Rivers
24' Makambo anataka goli kama alilowaweka Zanako lakini inakataa
28' Yakuba anashindwa kuandika bao la kwanza baada ya mpira kuponyoka mlinda mlango kwa kupiga kichwa fyongo
41' Rivers wanaingia kwenye lango la Yanga, shuti linatoka nje ya lango
45+2' Mpira unakwenda mapumziko
51' ⚽Moses anaiwekea Rivers bao la kwanza, Yanga 0-1 Rivers
64' Feisal Salum anapata nafasi ya kusawazisha baada ya Makambo kuuruka mpira lakini anapaisha juuu
85' Mlinda mlango anagagaa chini baada ya shuti kali kumpiga usoni katika harakati za kuokoa
90+4' Yanga wamelala nyumbani kwa kutandikwa 0-1 na Rivers United uwanja wa Mkapa Dar es Salaam, Tanzania. Wanatarajia kucheza mchezo wa marudiano nchini Nigeria.
Ili wasonge mbele wanahitaji ushindi nchini Nigeria au sare yoyote ya magoli inayozidi 1-1
=========
View attachment 1934361
Wawakilishi wa Tanzania kwenye michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika, Dar es Salaam Young Africans (Yanga) leo watashuka kwenye dimba la uwanja wa Benjamin Mkapa kupambana na timu ya Rivers United katika mechi ya kwanza ya hatua ya awali ya mashindano hayo
Baada ya mechi hii, timu hizo zitarudiana tarehe 19/09/2021 ili kuweza kupata mshindi atakayefuzu kwenye hatua inayofuata
Ungana nami nikikuletea kinachojiri katika mpambano huo
#RetunsOfChampions
Kikosi Cha Yanga
1. Diarra
2. Kibwana
3. Adeyum
4. Job
5. Mwamnyeto
6. Mukoko
7. Jesus
8. Mauya
9. Makambo
10. Feisal
11. Yacouba
Haya ndio matokeo unamlipa msemaji wa timu M9 na mchezaji Laki 7UPDATES

Hatuukani mkuuSawa ila msije kuukana huu uzi baada ya kipigo
Duu hizo ndizo Gharama za uzalendo......unajikuta unapenda hata kibovu Cha nyumbani.......Aah we jamaa hivi yanga ni ya kuipa dhamana iwe ni source ya kukupa faraja kweli?
Ebu kuwa serious mkuu, kwetu utachekwa
Walikuwa busy kukosoa jezi za timu nyingine wakasahau kuwa wana mechi muhimu. Wamevuna walichopandaSoka raha sana yanga wamejua kutufurahisha
Big up sana Rivers United wamefanya hii siku iwe poa sana
Manara alikuwa anacheka, ila barakoa ilifanya tusione kicheko chakeSisasa nyingi..maneno mengi..hamna kitu..
Deep down..Manara hata hajaumia..
Mimi bado ni miongoni mwa tunaoamini Manara damuni ni Simba..ila maslahi na ugomvi na CEO na Mo ndio unamtoa mapovu hivi..
Sent from my SM-A405FN using JamiiForums mobile app
Professor la utopoloni mechi za maandalizi ya Champions League wanacheza na timu za daraja la 3. ..Profesa asilaumiwe kwa sababu alishasema Muunganiko Utachukua miezi mi3....sasa hapo lawama za nini?
Wakati hakuwa na jasho😅😅😅Goli lilipofungwa alifuta jasho
Manara yule ni Simba , ukimwonaga kwenye mechi ya Simba hakai mda wote anazungukaWakati hakuwa na jasho[emoji28][emoji28][emoji28]
manara nimemuona katulia kishenz utafikiri ndo anamalizia kumwaga naniliu[emoji12]
Kuna kuweza kucheza mpira na kuweza kufunga au bahati ya kufunga. Kaseke angechomowa ule mwiko hakika. Bahati na utulivu golini anaoKwa mara ya kwanza nimeona mechi leo kibendera anacheka wachezaji[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kunguru 30978
Anatoka top scorer wa timu anaingia most poor scorer wa timu afu benchi namuona kaseke analalamikalalamika
Sasa wewe kaseke ungeenda kufanya nini mule[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Rivers hawakutaka ushindi mnono counter zote wanaenda wachezaji 2 au mmoja
Embu mzee kua na akili basiKuna kuweza kucheza mpira na kuweza kufunga au bahati ya kufunga. Kaseke angechomowa ule mwiko hakika. Bahati na utulivu golini anao
Mnaamini porojo kuliko uhalisia. Timu lenu bovuuu. GSM wapiga dili tu.Daah, Young Africans tunafeli wapi?