Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda mkuu ulikuwa unataka GSM afanye nini pale Yanga ili asionekane mpiga diliMnaamini porojo kuliko uhalisia. Timu lenu bovuuu. GSM wapiga dili tu.
Au unataka wasilipe mishahara ya wachezaji na makochaMnaamini porojo kuliko uhalisia. Timu lenu bovuuu. GSM wapiga dili tu.
Nyoko tena mkuuEti second leg is us with more goals...
Us ya nyokoooo....
Embu mzee kua na akili basi
Yanga sajilini wachezaji wa maana
Futa mentality ya kwamba ile ni ligi kuu ile ni CL kaseke atafanya nini? Angalia ubora wa yanga kwenye rank ...angalia stats za mchezaji last season tena sio CL bali ligi kuu tz alikua ana magoli mangap?
Utulivu kama angekua anao angekua ana decent goal number
Sasa kama tu polisi tanzania anahangaishana nao unafikiri CL itakuaje? Embu changamka basi uto..
Na huu mwiko wa leo bado tu hamzibuki huko nyuma
NTV Weekend Sport starts right now and we kick off with news of Express FC beating Sudanese giants Al-Merrikh 2-1. Now the win at St Mary’s Stadium in Kitende came on the back of goals from Eric Kambale and Martin Kizza either side of half-time. In between, Bakri Abdul Elgadri had restored parity for the visitors. The result means that the Red Eagles, who were playing continental football for the first time in 24 years, will advance to the next qualifying round of the Car Champions League if they avoid defeat in Khartoum next Saturday.
Wanashindana kusuka na kujikobowa tuuuMambo ya kitaani View attachment 1935121
Yanga ya kwenye Mwanaspoti kama una roho nyepesi unaweza dhani inafanana na Bayern Munich ya Ujerumani.Ogopa Matapeli kuna Yanga tatu...Ile ya kwenye Mwanaspoti, Ile inayosimuliwa na Manara afu kuna hii Yanga yenyewe iliyofungwa mechi mbili mtawalia
Duma ni mkali akicheza kwenye timu za kawaida kama Mbeya City, Mwadui, Njombe Mji, Polisi Tanzania, nk. Ukimpeleka Azam au Yanga, anakimbia kimbia na kuruka ruka tu uwanjani!Huyu Duma ana ushemeji na Injinia Hersi nini?? Anapataje namba Yanga😂
Mtaani Leo kumepoa saana halafu kuna raha saaan!Yanga wana hali ngumu ssna