Yanga vs zamaleck

Yanga vs zamaleck

Mmmmh yanga out kama hivyo maana chuji anawapatiaga sana warabu
 
Yanga mlifanya uzembe wenyewe Dar es Salaam, hawa jamaa walikuwa wenu kabisa, sio wazuri kihivyo.
 
Naomba isomeke hivi: in agregate, Zamalek 3 Yanga 1
Watu wengi (hata waandishi wa habari za michezo) hawajui wakati gani goli la ugenini linapotakiwa kuhesabiwa, ndio maana sishangai mtu akiandika agregate ya 3-1 badala ya 2-1 ! Inabidi nije na thread maalum kuelekeza watu humu! Ila kwa ufupi goli la ugenini huwa linaangaliwa BAADA ya matokeo ya home and away kulingana, sio tu mechi inaendelea halafu anajitokeza mtu na kuanza kuhesabu away goal! Anyway, ni uhuru wa kuongea (na kuandika!)
 
Wanakosa penalt hapa hawa Zamaleck. Zamalek 1 Yanga 0
 
80th minute. still Zamalek 1-0 Yanga. hali ya baba wa taifa bado mbaya
 
Watu wengi (hata waandishi wa habari za michezo) hawajui wakati gani goli la ugenini linapotakiwa kuhesabiwa, ndio maana sishangai mtu akiandika agregate ya 3-1 badala ya 2-1 ! Inabidi nije na thread maalum kuelekeza watu humu! Ila kwa ufupi goli la ugenini huwa linaangaliwa BAADA ya matokeo ya home and away kulingana, sio tu mechi inaendelea halafu anajitokeza mtu na kuanza kuhesabu away goal! Anyway, ni uhuru wa kuongea (na kuandika!)

Kweli kaka wape watu darasa! utakuwa umewasaidia sana
 
Nauli ya yanga kwenda Egypt bora tungenunua Bundle la Internet.
 
Back
Top Bottom