Maundumula
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 7,553
- 3,081
Mmmmh yanga out kama hivyo maana chuji anawapatiaga sana warabu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dakika ya 76, bado moja kwa Zamalek, Yanga bila.Dakika ya ngapi jamani? Vp matokeo?
Watu wengi (hata waandishi wa habari za michezo) hawajui wakati gani goli la ugenini linapotakiwa kuhesabiwa, ndio maana sishangai mtu akiandika agregate ya 3-1 badala ya 2-1 ! Inabidi nije na thread maalum kuelekeza watu humu! Ila kwa ufupi goli la ugenini huwa linaangaliwa BAADA ya matokeo ya home and away kulingana, sio tu mechi inaendelea halafu anajitokeza mtu na kuanza kuhesabu away goal! Anyway, ni uhuru wa kuongea (na kuandika!)Naomba isomeke hivi: in agregate, Zamalek 3 Yanga 1
Watu wengi (hata waandishi wa habari za michezo) hawajui wakati gani goli la ugenini linapotakiwa kuhesabiwa, ndio maana sishangai mtu akiandika agregate ya 3-1 badala ya 2-1 ! Inabidi nije na thread maalum kuelekeza watu humu! Ila kwa ufupi goli la ugenini huwa linaangaliwa BAADA ya matokeo ya home and away kulingana, sio tu mechi inaendelea halafu anajitokeza mtu na kuanza kuhesabu away goal! Anyway, ni uhuru wa kuongea (na kuandika!)