Yanga wafanyiwa figisu, wapewa gari bovu Nigeria

Kwani bus ndilo linalocheza?, acheni malalamiko kila siku.
Hata mtoto wa mwisho hadeki kiwango hicho
 
Hili ndo basi wamepewa Yanga SC na wenyeji wao huko nchini Nigeria kwa ajili ya matumizi wakiwa nchini humo kwa ajili ya mchezo wa CAF confederation dhidi ya Rivers hapo kesho.

View attachment 2596550
Kwani hilo gari ndio linaingia uwanjani kucheza au kaz yake kuwabeba.

Sasa kwa taarifa yenu mnapigwa Nigeria na gari bovu mmepanda halafu na kwa Mkapa mnapigwa mkiwa kwenye gari lenu. Sijui mtasingizia nini
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜…
 
Hiyo ndio itawatia hasira na watapambana zaidi,nawatakia kila la kheri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…