Gusa achia twende kwao
JF-Expert Member
- Jan 3, 2025
- 916
- 1,031
Kwa uelewa wangu nachojua mm Kosa la kikanuni linaadhibiwa kikanuni kama Yanga tumewazuia kufanya mazoezi,TFF na Bodi ya Ligi watawaadhibu ila huna Haki ya Kugomea mchezoMnaona mnavyojisnitchi. Ndiyo maana nasema shetani hana rafiki wa kudumu.
Sikujua hili ingawa nilijua kabisa linahusiana na siasa
Mnaporukia hoja ya "kiongozi mkubwa wa serikali" kuamuru geti lisifunguliwe ili kuinusuru Simba na kipigo kizito, mjiulize hadi anapiga/anapigiwa simu, Simba ilipewa ushirikiano pale getini ilipofika? Mbona mlikuwa mnatuambia habari za miongozo ya kanuni? Maana mmekaa huko hadi mmeanza kutaja majina ya huyo Kiongozi mnayedhani anahusika ili tu fitna zenu zitiki. Huyo kiongozi alipiga au alipigiwa simu? Je alipiga au kupigiwa simu baada ya situation kufikia hali gani pale getini? Watu walipokuwa wanaongelea suala la usalama, mlidhani nani alifanya tathmini hadi kufikia kuwaambia Simba waondoke na usiku ule ule watangaze kutocheza mechi?
Yaani Simba wafike uwanjani kufanya mazoezi kama kanuni inavyowaruhusu, wakute mabaunsa wa Yanga ambao wako tayari kuwaruhusu Simba kuingia, aje Meneja wa uwanja atake kufungua geti, halafu ghafla Waziri Mkuu Majaliwa apige simu, apayuke "usifungueeeee!!!". Hii inaleta mantiki yoyote kwenu?
•Hoja ya mabaunsa kuwazuia ni dhaifu mno maana mech na Pamba mliletewa nongwa kama hii na mech mkacheza vizuri Tu
•Hoja yako ya kiongozi iko wazi,Kuwa wasimamizi WA mchezo huwepo uwanjani Muda wote Tim Fulani inapotaka kutumia Uwanja hivyo Kila Jambo linalofanyika wao huandaaa report yenye maelezo ya kina ....unapotokea ww ukabishana na Watu walioona Barua hio ikieleza haya uNataka tukueleweje?