Yanga wameamua kuvaa roho ya fitna kama nguzo yao kuu ya habari

DELETED ACCOUNT

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2010
Posts
9,805
Reaction score
15,476
Leo nimeona niamke na Neno la Uzima. Natumaini litaenda kuwabariki wasomaji wengi.

Moja ya tabia mbaya ambazo mtu unaweza kuhusishwa nazo ni tabia ya kueneza fitna. Ni moja ya nguzo za shetani zenye nia ya kuleta taharuhi, kuharibu na kuficha ukweli. Ukweli unahusishwa na Mungu. Uongo unahusishwa na shetani na fitna ni moja ya aina za uongo.

Unaweza kujiuliza fitna ni nini? Fitna ni hali ya kusema na kusambaza taarifa kwa kupindisha ukweli ili kulenga agenda fulani inayokunufaisha wewe.

Unaweza kuhoji Ukweli unapindishwaje? Ukweli unapindishwa kwa kuamua kutosema kweli yote au kuchanganya uongo ndani ya ukweli. Unaamua kutosema kweli yote kwa kuficha baadhi ya taarifa za kweli bila kuzisema kwa kuwa unajua ukisema kweli yote unaharibu agenda unayojaribu kuisambaza.

Ndani ya siku hizi mbili Yanga imeamua kuvaa hii roho ya kishetani kwa kutumia moja ya nguzo zake kuu ya fitna.

Yanga inadai kuwa Kiongozi wa Bodi ya Ligi aliwaambia katika kikao chao cha jana kuwa kuna kiongozi mmoja wa serikali aliamuru geti la uwanja wa Benjamin Mkapa lisifunguliwe ili Simba isifanye mazoezi siku moja kaba ya derby ya 08/03. Tujiulize hii ni kweli yote wanayoijua kuhusu suala hili au kuna kweli nyingine wameamua kutosema kutoka kwenye hicho kikao? Kama mnakiri mmeamua kusubiri Bodi watoe taarifa rasmi, kwa nini mmeamua baada ya kutoka katika kikao na Bodi kuliongelea hilo tu la kiongozi wa serikali? Je ikijulikana huyo kiongozi wa serikali ni mshabiki na/au mwanachama wa Yanga mtakana hizo taarifa au mtaendelea kuzikumbatia kama mnavyofanya sasa?

Hivi siyo hawa waliokuwa wanakana mabausa wao? Siyo hawa waliokuwa wanatuambia habari za miongozo ya kanuni? Siyo hawa ambao walisema hawahusiki na kuwazuia Simba kisa hawashikilii funguo za uwanja ila leo wanahoji mchezo wa 15/06 utachezewa wapi ikiwa hawajatoa funguo za uwanja? Siyo hawa waliokuwa wanatuambia habari za mbuzi na wazee wafupi. Kumbuka hapo juu nimeongelea kuchanganya kauongo katika kweli ili kupush agenda kama aina nyingine ya fitna.

Jana pia wameibuka kusema hawatashiriki kwenye fainali ya CRDB Cup kwa kuwa hawajalipwa pesa za mwaka jana. Hii ndiyo kweli yote wanayoijua kuhusu suala hilo? Walipoona hizi taarifa zinaweza kuwaharibia mahusiano yao na CRDB, wanakuja kusema "wanajua" CRDB walishatoa hizo pesa ila zimeliwa na TFF. Waambie wakuonyeshe uthibitisho wa "kujua" kama watakupa. Hiki ni kiwango cha juu cha ubobevu katika FITNA.

Wakati mmeamua kuegemea muhimili wa fitna kama nguzo yenu kuu ya habari, mkumbuke pia kuwa kamwe shetani hana rafiki wa kudumu. Leo kwa sababu ya shida na matamanio yako anakutumia kuharibu, kufedhehesha, kuteketeza na kudhoofisha, akishamalizana na wewe anakuacha unabaki na nyeti zako zikiwa wazi mbele ya umma ukiaibika. Shetani akikaa pembeni, uongo wako wote unakuwa wazi kwa kila mtu kuuona na ngao aliyokuwa amekuwekea kukulinda haitakuwepo tena.
 
Huyu mzee alikuwa anajua,wewe Julia.
 
Attachments

  • Facebook(720p)(7).mp4
    8.4 MB
Kwa hiyo mkuu, unataka kusema Tarehe 8 March, ule mchezo ulihairishwa kihalali?
Hizi timu za Simba na Yanga zinajuana wenyewe...
Lakini nakupa hints...
Tarehe 8 Kuna timu mojawapo hawakuwa na utimamu wa miili ya wachezaji wao..karibu wachezaji 5,

Pili Kuna mpango ulifanywa na timu mojawapo mechi isichezwe...kwa kufanya mazingaombwe...pamoja na vitimbwi Tarehe 7...

Bodi ya Ligi ilitoa taarifa game ipo...ikatandikwa simu kutoka juu..futa huo mchezo...

Kuna mambo mengi juu ya uhuru wa taasisi za kimpira hapa Bongo...lakini kama unafiki wanafanya Yanga..hata Simba wanafanya...

Ikitokea Yanga hajaja Tarehe 15, utaona rasmi unafiki wa Simba...

Simba watapiga kelele vibaya sana ..kwamba kanuni zifuatwe... Utafikiri sio wao walisema hatuchezi Tarehe 8 March
 
Yanga inaendelea kutumika na CCM ili kuzima moto wa No reforms no election. Safari hii plan ya CCM ya kutaka watu wageukie suala la "Yanga Hatuchezi" ili kuifunika No reforms no election imeshtukiwa na itafeli.
No reforms no election. Free Tundu Lissu and all detained human rights activists.
 
Hilo nililiongelea toka mwanzo watu hawakunielewa. Ila tunarudi pale pale, fitna ndiyo inatumika kwa kutosema kweli yote.
 
Kwa hiyo mkuu, unataka kusema Tarehe 8 March, ule mchezo ulihairishwa kihalali?
Hizi timu za Simba na Yanga zinajuana wenyewe...
Lakini nakupa hints...
Tarehe 8 Kuna timu mojawapo hawakuwa na utimamu wa miili ya wachezaji wao..karibu wachezaji 5,

Pili Kuna mpango ulifanywa na timu mojawapo mechi isichezwe...kwa kufanya mazingaombwe...pamoja na vitimbwi Tarehe 7...

Bodi ya Ligi ilitoa taarifa game ipo...ikatandikwa simu kutoka juu..futa huo mchezo...

Kuna mambo mengi juu ya uhuru wa taasisi za kimpira hapa Bongo...lakini kama unafiki wanafanya Yanga..hata Simba wanafanya...

Ikitokea Yanga hajaja Tarehe 15, utaona rasmi unafiki wa Simba...

Simba watapiga kelele vibaya sana ..kwamba kanuni zifuatwe... Utafikiri sio wao walisema hatuchezi Tarehe 8 March
Tutajie hao wachezaji 5 ambao hawakuwa na utimamu usije ukawa na wewe umevaa roho ya fitna.
 
  • Kicheko
Reactions: Tui
Yanga inaendelea kutumika na CCM ili kuzima moto wa No reforms no election. Safari hii plan ya CCM ya kutaka watu wageukie suala la "Yanga Hatuchezi" ili kuifunika No reforms no election imeshtukiwa na itafeli.
No reforms no election. Free Tundu Lissu and all detained human rights activists.
Kwanini useme Yanga? Yanga ndio walizuia mechi isichezwe march 8? Kwnini tunahukumu matokeo bila kuangalia chanzo?
 
Leo nimeona niamke na Neno la Uzima. Natumaini litaenda kuwabariki wasomaji wengi.

Moja ya tabia mbaya ambazo mtu unaweza kuhusishwa nazo ni tabia ya kueneza fitna. Ni moja ya nguzo za shetani zenye nia ya kuleta taharuhi, kuharibu na kuficha ukweli. Ukweli unahusishwa na Mungu. Uongo unahusishwa na shetani na fitna ni moja ya aina za uongo.

Unaweza kujiuliza fitna ni nini? Fitna ni hali ya kusema na kusambaza taarifa kwa kupindisha ukweli ili kulenga agenda fulani inayokunufaisha wewe.

Unaweza kuhoji Ukweli unapindishwaje? Ukweli unapindishwa kwa kuamua kutosema kweli yote au kuchanganya uongo ndani ya ukweli. Unaamua kutosema kweli yote kwa kuficha baadhi ya taarifa za kweli bila kuzisema kwa kuwa unajua ukisema kweli yote unaharibu agenda unayojaribu kuisambaza.

Ndani ya siku hizi mbili Yanga imeamua kuvaa hii roho ya kishetani kwa kutumia moja ya nguzo zake kuu ya fitna.

Yanga inadai kuwa Kiongozi wa Bodi ya Ligi aliwaambia katika kikao chao cha jana kuwa kuna kiongozi mmoja wa serikali aliamuru geti la uwanja wa Benjamin Mkapa lisifunguliwe ili Simba isifanye mazoezi siku moja kaba ya derby ya 08/03. Tujiulize hii ni kweli yote wanayoijua kuhusu suala hili au kuna kweli nyingine wameamua kutosema kutoka kwenye hicho kikao? Kama mnakiri mmeamua kusubiri Bodi watoe taarifa rasmi, kwa nini mmeamua baada ya kutoka katika kikao na Bodi kuliongelea hilo tu la kiongozi wa serikali? Je ikijulikana huyo kiongozi wa serikali ni mshabiki na/au mwanachama wa Yanga mtakana hizo taarifa au mtaendelea kuzikumbatia kama mnavyofanya sasa?

Hivi siyo hawa waliokuwa wanakana mabausa wao? Siyo hawa waliokuwa wanatuambia habari za miongozo ya kanuni? Siyo hawa ambao walisema hawahusiki na kuwazuia Simba kisa hawashikilii funguo za uwanja ila leo wanahoji mchezo wa 15/06 utachezewa wapi ikiwa hawajatoa funguo za uwanja? Siyo hawa waliokuwa wanatuambia habari za mbuzi na wazee wafupi. Kumbuka hapo juu nimeongelea kuchanganya kauongo katika kweli ili kupush agenda kama aina nyingine ya fitna.

Jana pia wameibuka kusema hawatashiriki kwenye fainali ya CRDB Cup kwa kuwa hawajalipwa pesa za mwaka jana. Hii ndiyo kweli yote wanayoijua kuhusu suala hilo? Walipoona hizi taarifa zinaweza kuwaharibia mahusiano yao na CRDB, wanakuja kusema "wanajua" CRDB walishatoa hizo pesa ila zimeliwa na TFF. Waambie wakuonyeshe uthibitisho wa "kujua" kama watakupa. Hiki ni kiwango cha juu cha ubobevu katika FITNA.

Wakati mmeamua kuegemea muhimili wa fitna kama nguzo yenu kuu ya habari, mkumbuke pia kuwa kamwe shetani hana rafiki wa kudumu. Leo kwa sababu ya shida na matamanio yako anakutumia kuharibu, kufedhehesha, kuteketeza na kudhoofisha, akishamalizana na wewe anakuacha unabaki na nyeti zako zikiwa wazi mbele ya umma ukiaibika. Shetani akikaa pembeni, uongo wako wote unakuwa wazi kwa kila mtu kuuona na ngao aliyokuwa amekuwekea kukulinda haitakuwepo tena.
Sishabikii hayo madudu yenu lakini Mechi kuchezwa upya bila adhabu Kwa yeyote iwe;
1.Yanga
2.Simba
3.Bodi ya ligi
4.TFF
NI kubakauwajibikaji. Tuone mmoja aliyekosea Machi 8 akichukuliwa hatua ndo tutajua wako serious. Kama kuna Mtu alishabikia ujinga wa March 8 apokee anachostahili.
 
Mkuu acha fitna...
Mojawapo ni kipa ...
Tafuta taarifa..usipende kuletewa Kila kitu mezani
Umesema wachezaji karibia 5, tutajie hao wachezaji 5. Wewe utatusaidia kutupa mifano halisi ya fitna ninayoiongelea hapa.
 
Tutajie hao wachezaji 5 ambao hawakuwa na utimamu usije ukawa na wewe umevaa roho ya fitna.
Mimi najua mmja wapo alikuwa shee Malone Fondo kama sikosei na kamala,Simba wakahofu lisije kuwa balaa,Na ukiangalia ni kweli kwani sababu walizotoa zilikuwa za kitoto sana.
 
Leo nimeona niamke na Neno la Uzima. Natumaini litaenda kuwabariki wasomaji wengi.

Moja ya tabia mbaya ambazo mtu unaweza kuhusishwa nazo ni tabia ya kueneza fitna. Ni moja ya nguzo za shetani zenye nia ya kuleta taharuhi, kuharibu na kuficha ukweli. Ukweli unahusishwa na Mungu. Uongo unahusishwa na shetani na fitna ni moja ya aina za uongo.

Unaweza kujiuliza fitna ni nini? Fitna ni hali ya kusema na kusambaza taarifa kwa kupindisha ukweli ili kulenga agenda fulani inayokunufaisha wewe.

Unaweza kuhoji Ukweli unapindishwaje? Ukweli unapindishwa kwa kuamua kutosema kweli yote au kuchanganya uongo ndani ya ukweli. Unaamua kutosema kweli yote kwa kuficha baadhi ya taarifa za kweli bila kuzisema kwa kuwa unajua ukisema kweli yote unaharibu agenda unayojaribu kuisambaza.

Ndani ya siku hizi mbili Yanga imeamua kuvaa hii roho ya kishetani kwa kutumia moja ya nguzo zake kuu ya fitna.

Yanga inadai kuwa Kiongozi wa Bodi ya Ligi aliwaambia katika kikao chao cha jana kuwa kuna kiongozi mmoja wa serikali aliamuru geti la uwanja wa Benjamin Mkapa lisifunguliwe ili Simba isifanye mazoezi siku moja kaba ya derby ya 08/03. Tujiulize hii ni kweli yote wanayoijua kuhusu suala hili au kuna kweli nyingine wameamua kutosema kutoka kwenye hicho kikao? Kama mnakiri mmeamua kusubiri Bodi watoe taarifa rasmi, kwa nini mmeamua baada ya kutoka katika kikao na Bodi kuliongelea hilo tu la kiongozi wa serikali? Je ikijulikana huyo kiongozi wa serikali ni mshabiki na/au mwanachama wa Yanga mtakana hizo taarifa au mtaendelea kuzikumbatia kama mnavyofanya sasa?

Hivi siyo hawa waliokuwa wanakana mabausa wao? Siyo hawa waliokuwa wanatuambia habari za miongozo ya kanuni? Siyo hawa ambao walisema hawahusiki na kuwazuia Simba kisa hawashikilii funguo za uwanja ila leo wanahoji mchezo wa 15/06 utachezewa wapi ikiwa hawajatoa funguo za uwanja? Siyo hawa waliokuwa wanatuambia habari za mbuzi na wazee wafupi. Kumbuka hapo juu nimeongelea kuchanganya kauongo katika kweli ili kupush agenda kama aina nyingine ya fitna.

Jana pia wameibuka kusema hawatashiriki kwenye fainali ya CRDB Cup kwa kuwa hawajalipwa pesa za mwaka jana. Hii ndiyo kweli yote wanayoijua kuhusu suala hilo? Walipoona hizi taarifa zinaweza kuwaharibia mahusiano yao na CRDB, wanakuja kusema "wanajua" CRDB walishatoa hizo pesa ila zimeliwa na TFF. Waambie wakuonyeshe uthibitisho wa "kujua" kama watakupa. Hiki ni kiwango cha juu cha ubobevu katika FITNA.

Wakati mmeamua kuegemea muhimili wa fitna kama nguzo yenu kuu ya habari, mkumbuke pia kuwa kamwe shetani hana rafiki wa kudumu. Leo kwa sababu ya shida na matamanio yako anakutumia kuharibu, kufedhehesha, kuteketeza na kudhoofisha, akishamalizana na wewe anakuacha unabaki na nyeti zako zikiwa wazi mbele ya umma ukiaibika. Shetani akikaa pembeni, uongo wako wote unakuwa wazi kwa kila mtu kuuona na ngao aliyokuwa amekuwekea kukulinda haitakuwepo tena.
Acha uongo,Ninachojua Ahmeda Ally ndiye alitangaza hadharani kuwa wamevaa roho ya shetani na atakaye katiza mbele yao wanaondoka naye,tumeona baada kauli yao mabaya waliyo watendea mashabiki wa yanga kuwapiga n.k.
 
Naona unaongea kama Shabiki WA makolo 😀😀....Yanga kaleta fitina Sawa,tuonyeshe ukwl sasa maana inaonekana ww hili sakata unalijua tangu MDA.....Tarehe 8 key players Weng WA Simba walikuwa majeruhi(Che Malone, Kapombe,Camara ,Kibu n.k ) hii ni moja ya Sababu ya kiufundi kabisa kwann simba hakutaka hio mech acheze maana Yanga lazima angemuoshea vibaya mno hivo karata zilichezwa kwa Kila NAMNA hii game isiwepo maana kama uliangalia press ya Mech ya Yanga Vs Simba (Tarehe 7 /3/2025 ) Ahmed Ally hakuwa mchangamfu hata kidogo yaani hili suala alikuwa anajua kabisaa kuwa litatokea

•Kuhusu CRDB NI kwl ,uNataka kusema CRDB ashindwe kulipa million 100 🧐🤨,Hela inatoka CRDB inaenda TFF inaenda Yanga (Yanga anampa TFF akaunti ya kuingiziwa Hela) yaani mpaka Leo uNataka kusema Yanga hajafanya hivyo,na barua juu wameandika mbona .....

•Nikukumbushe Tu Simba hii game wakisema hawachezi mpaka wahuni wachukuliwe Hatua ,mbona sasa hivi wanashadadia game kuchezwa ikiwa wahuni hawajachukuliwa Hatua?Kosa la kikanuni unaadhibu Mtu kikanuni mfano Yanga kamzuia Simba kufanya mazoezi faini ni Million 5 ila mechi iko pale pale....
 
Nani atakuwa mwenyeji wa huo mchezo?
Nani atawapa Makolo funguo za geti wakafanye mazoezi siku moja kabla ya mechi?
Mnaona mnavyojisnitchi. Ndiyo maana nasema shetani hana rafiki wa kudumu.

Nakuongezea na hili. Siku ya tarehe 8 lisu alikuwa mlimani city na alikuwa akitangaza NO REFORMS NO ELECTION mgeni rasmi alikuwa dr slaa. So wangeachwa wangetrend kuliko bi ushungi aliyekuwa mwanza siku hiyo.
Ikaamuliwa game iahirishwe ili kuhamisa magoli .
Na huyo kiongozi ni wa ccm.wajinga sana hawa TISS
Sikujua hili ingawa nilijua kabisa linahusiana na siasa
Kwa hiyo mkuu, unataka kusema Tarehe 8 March, ule mchezo ulihairishwa kihalali?
Hizi timu za Simba na Yanga zinajuana wenyewe...
Lakini nakupa hints...
Tarehe 8 Kuna timu mojawapo hawakuwa na utimamu wa miili ya wachezaji wao..karibu wachezaji 5,

Pili Kuna mpango ulifanywa na timu mojawapo mechi isichezwe...kwa kufanya mazingaombwe...pamoja na vitimbwi Tarehe 7...

Bodi ya Ligi ilitoa taarifa game ipo...ikatandikwa simu kutoka juu..futa huo mchezo...

Kuna mambo mengi juu ya uhuru wa taasisi za kimpira hapa Bongo...lakini kama unafiki wanafanya Yanga..hata Simba wanafanya...

Ikitokea Yanga hajaja Tarehe 15, utaona rasmi unafiki wa Simba...

Simba watapiga kelele vibaya sana ..kwamba kanuni zifuatwe... Utafikiri sio wao walisema hatuchezi Tarehe 8 March

Fondo, Camara,twiga pale Kati,kibu,kapombe

Mimi najua mmja wapo alikuwa shee Malone Fondo kama sikosei na kamala,Simba wakahofu lisije kuwa balaa,Na ukiangalia ni kweli kwani sababu walizotoa zilikuwa za kitoto sana.

Acha uongo,Ninachojua Ahmeda Ally ndiye alitangaza hadharani kuwa wamevaa roho ya shetani na atakaye katiza mbele yao wanaondoka naye,tumeona baada kauli yao mabaya waliyo watendea mashabiki wa yanga kuwapiga n.k.

Naona unaongea kama Shabiki WA makolo 😀😀....Yanga kaleta fitina Sawa,tuonyeshe ukwl sasa maana inaonekana ww hili sakata unalijua tangu MDA.....Tarehe 8 key players Weng WA Simba walikuwa majeruhi(Che Malone, Kapombe,Camara ,Kibu n.k ) hii ni moja ya Sababu ya kiufundi kabisa kwann simba hakutaka hio mech acheze maana Yanga lazima angemuoshea vibaya mno hivo karata zilichezwa kwa Kila NAMNA hii game isiwepo maana kama uliangalia press ya Mech ya Yanga Vs Simba (Tarehe 7 /3/2025 ) Ahmed Ally hakuwa mchangamfu hata kidogo yaani hili suala alikuwa anajua kabisaa kuwa litatokea

•Kuhusu CRDB NI kwl ,uNataka kusema CRDB ashindwe kulipa million 100 🧐🤨,Hela inatoka CRDB inaenda TFF inaenda Yanga (Yanga anampa TFF akaunti ya kuingiziwa Hela) yaani mpaka Leo uNataka kusema Yanga hajafanya hivyo,na barua juu wameandika mbona .....

•Nikukumbushe Tu Simba hii game wakisema hawachezi mpaka wahuni wachukuliwe Hatua ,mbona sasa hivi wanashadadia game kuchezwa ikiwa wahuni hawajachukuliwa Hatua?Kosa la kikanuni unaadhibu Mtu kikanuni mfano Yanga kamzuia Simba kufanya mazoezi faini ni Million 5 ila mechi iko pale pale....
Mnaporukia hoja ya "kiongozi mkubwa wa serikali" kuamuru geti lisifunguliwe ili kuinusuru Simba na kipigo kizito, mjiulize hadi anapiga/anapigiwa simu, Simba ilipewa ushirikiano pale getini ilipofika? Mbona mlikuwa mnatuambia habari za miongozo ya kanuni? Maana mmekaa huko hadi mmeanza kutaja majina ya huyo Kiongozi mnayedhani anahusika ili tu fitna zenu zitiki. Huyo kiongozi alipiga au alipigiwa simu? Je alipiga au kupigiwa simu baada ya situation kufikia hali gani pale getini? Watu walipokuwa wanaongelea suala la usalama, mlidhani nani alifanya tathmini hadi kufikia kuwaambia Simba waondoke na usiku ule ule watangaze kutocheza mechi?

Yaani Simba wafike uwanjani kufanya mazoezi kama kanuni inavyowaruhusu, wakute mabaunsa wa Yanga ambao wako tayari kuwaruhusu Simba kuingia, aje Meneja wa uwanja atake kufungua geti, halafu ghafla Waziri Mkuu Majaliwa apige simu, apayuke "usifungueeeee!!!". Hii inaleta mantiki yoyote kwenu?
 
Mnaona mnavyojisnitchi. Ndiyo maana nasema shetani hana rafiki wa kudumu.

Sikujua hili ingawa nilijua kabisa linahusiana na siasa

Mnaporukia hoja ya "kiongozi mkubwa wa serikali" kuamuru geti lisifunguliwe ili kuinusuru Simba na kipigo kizito, mjiulize hadi anapiga/anapigiwa simu, Simba ilipewa ushirikiano pale getini ilipofika? Mbona mlikuwa mnatuambia habari za miongozo ya kanuni? Maana mmekaa huko hadi mmeanza kutaja majina ya huyo Kiongozi mnayedhani anahusika ili tu fitna zenu zitiki. Huyo kiongozi alipiga au alipigiwa simu? Je alipiga au kupigiwa simu baada ya situation kufikia hali gani pale getini? Watu walipokuwa wanaongelea suala la usalama, mlidhani nani alifanya tathmini hadi kufikia kuwaambia Simba waondoke na usiku ule ule watangaze kutocheza mechi?

Yaani Simba wafike uwanjani kufanya mazoezi kama kanuni inavyowaruhusu, wakute mabaunsa wa Yanga ambao wako tayari kuwaruhusu Simba kuingia, aje Meneja wa uwanja atake kufungua geti, halafu ghafla Waziri Mkuu Majaliwa apige simu, apayuke "usifungueeeee!!!". Hii inaleta mantiki yoyote kwenu?
List...
Chemalon Fondo...
Endelea na wewe kutafuta list..

Mkuu usitake niandike vitu ambavyo haviandikiki...

Yaani mnakula Dili na boss kubwa la kusini geti lisifunguliwe ..ili mpate kisingizio Cha kukuambia game ya Tarehe 8 March...

Acha Fitna
 
Nitafuteje list wakati wewe ndiye umesema wachezaji 5 ila unataja mmoja? Hizi ndiyo fitna ninazoziongelea. Unanisaidia sana kuelimisha watu.
 
Hawa mikia bin mbumbumbu wanajitoa ufahamu sana.
Yaani Simba wafike uwanjani kufanya mazoezi kama kanuni inavyowaruhusu, wakute mabaunsa wa Yanga ambao wako tayari kuwaruhusu Simba kuingia, aje Meneja wa uwanja atake kufungua geti, halafu ghafla Waziri Mkuu Majaliwa apige simu, apayuke "usifungueeeee!!!".

Hiki ndiyo kipo kichwani mwenu?
 
Back
Top Bottom