Yanga wameamua kuvaa roho ya fitna kama nguzo yao kuu ya habari

Kwa uelewa wangu nachojua mm Kosa la kikanuni linaadhibiwa kikanuni kama Yanga tumewazuia kufanya mazoezi,TFF na Bodi ya Ligi watawaadhibu ila huna Haki ya Kugomea mchezo

•Hoja ya mabaunsa kuwazuia ni dhaifu mno maana mech na Pamba mliletewa nongwa kama hii na mech mkacheza vizuri Tu

•Hoja yako ya kiongozi iko wazi,Kuwa wasimamizi WA mchezo huwepo uwanjani Muda wote Tim Fulani inapotaka kutumia Uwanja hivyo Kila Jambo linalofanyika wao huandaaa report yenye maelezo ya kina ....unapotokea ww ukabishana na Watu walioona Barua hio ikieleza haya uNataka tukueleweje?
 
Mechi ya Pamba, Simba haikuzuiwa kufanya mazoezi na ilifanya mazoezi.

Kuhusu hoja ya kiongozi, nimewauliza mnaporukia kwa mihemko hoja hiyo vichwani mwenu mna picha gani mnayodhani inawafeva? Maana tukio zima ukilifuatilia wala siyo ajabu kusikia kuna kiongozi ambaye mwishoni ndiyo alitoa agizo hilo ila siyo kwa sababu hiyo mnayotaka kutuaminisha. Ninavyoona mimi ni kwa sababu hali ilionekana kushindikana kutatulika usiku ule ingawa mpaka leo inashangaza sana kusikia serikali ilishindwa kuwadhibiti wahuni wachache getini.
 
TFF ni KIKUNDI CHA WAHUNI waliojificha kwenye uongozi wa soka.

Nashangaa mpaka sasa hao hakina KARIA na wenzake bado wapo uraiani!.

TAKUKURU ya Samia kama imelala vile!
 
Mkuu leo karibia mara ya kumi nasema humu kua Hawa wahuni /maharamia /pirates , wameendekezwa sana ,, Hawa wanatakiwa wasicheze ligi.kuu waende ligi nyingine huko wakafanye UHUNI wao huko ...kama Hali hii ikiendelea hivi naiona Tanzania ikifungiwa na FIFA siku si nyingi.
 
Wanawachafua Bodi na TFF huku wakijua jinsi gani wamewabeba. Wanajua kwa jinsi wanavyoendelea kuichokonoa Bodi ili ijibishane nao, ndiyo wanazidi kuivunjia heshima.

Wanapindishapindisha ukweli ili Bodi watoke wajibizane nao kwa jazba wakijua hili litaendelea kuwapandisha hasira vyura na hivyo kuendelea kuficha madhaifu ya viongozi wa uto.

Huyu ni Mjumbe wa Bodi ya Singisa BS
 
Hii ndiyo taasisi ambayo wanataka tuwaamini katika taarifa, malalamiko na madai yao?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…